Kama aliona makada watatu wanahaki kuliko wapiga kura zaidi ya 50,000 . Hapa anaweza sema mawaziri wanahaki kuliko watanzania zaidi ya 40milioni na wanafunzi wanaokaa chini, shule za kata zizsizo...
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Deo
Middle Name:
Haule
Last Name:
Filikunjombe
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Ludewa
Political Party:
CCM...
Kilio cha Madaktari sasa kimesikika baada ya Wabunge kuwaunga mkono na kumshinikiza waziri asiyefanya kazi ajiuzuru. Lakini hii haitoshi kwa kuwa alisababisha watu wengi kufariki kwa uongozi wake...
Mwanzoni mwa miaka ya 90 nikiwa pale UD, kuna siku majira ya saa mbili usiku, kulilipuka kelele za kushangilia ambazo zilitokea Hall 1, Hall 2, Hall 3 na Hall 5. Jirani yangu nae nilimsikia...
Ndugu zangu mie nasikitikana sana mara kwa mara nikisikia mawaziri wakisema ooh serikali inatambua kuwa kuna uhaba wa vitendea kazi mashuleni?Sasa swali la kujiuliza kama kweli wanatambua hilo ni...
Hakuna asiyejua kuwa CCM imekuwa ikiingiza mkono wake katika maamuzi ya mahakama hasa katika kesi za kupinga matokeo ya Ubunge. Sasa ushauri ninaotaka kuwapa ni kuwa ni bora mwingilie kwa kuomba...
Wakuu poleni kwa majukumu,nipo mbele yenu kuwakilisha hoja binafsi.
Tangu jana nimekua nikifatilia bunge la tz,na nilizidi kuhamasika kuendelea kufatilia bunge baada ya kumsikia mh Zitto akisema...
By Patrick Kisembo, Guardian, 20 April 2012
Ludewa legislator Deo Filikunjombe (CCM) yesterday pointed an accusing finger at Finance minister Mustafa Mkulo, associating him with corruption...
Ndugu wa Tanzania, napenda kusema kile kinaendelea ktk siasa za tanzania ni giza zito huku ikulu ikiwa na siri nzito.
Lolote laweza kutokea msishangae,tumuombe Mungu tupite salama. Mh Rais wa...
Habari wana jf,nimepata habari toka kwa jamaa yangu alieko gta kuwa dr slaa na g.lema leo (mida hii)wanaeneza moto wa ukombozi kwa wakazi wa gta,kama kuna mwana jf aliyeko sehmu ya tukio tafadhali...
Ripoti ya CAG inapofikia hatua ya kujulikana kwetu wananchi wa kawaida, inamaana mkuu ambaye CIG anawajibika kwake kwa njia moja au nyingine, anakua ashaipata taarifa kamili ya yaliyomo. Je, mh...
Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu...
French novelist Emile Zola once wrote"If you shut up truth and bury it under the ground,it will but grow,and gather to its self such explosive power that the day it burst through it will blow up...
Habari za ukakika kesho zinasema Raisi Kikwete kesho 21/4/2012, mjini Dodoma kupunguza mukari wa Wabunge wa CCM katika kuungana na Chadema ili kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu...
Nimesoma kwenye mtandao wa gazeti la serikali la Habari Leo kuwa Waziri Sophia Simba amesema kuwa Salma Kikwete hakuitumia WAMA kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010. Nikatafuta Salma...
Wiki kadhaa zilizopita,vyombo vya habari hapa nchini vilipambwa mfululizo na habari za viongozi kadhaa hapa nchini kutangaza nia kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akiwemo mbunge wa...
SAMBAMABA NA KUJIUZULU KWA MAWAZIRI WA CCM kAULI YA NAPE KWENYE FACEBOOK:
" Joto la kuvua magamba naona limefikia mahali pazuri na yanavuka sasa bila kelele! Hakuna litakalo baki! Kukata kichwa...
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za...