JK hajui kabisa kabisa Urais ktk hili, au anadanganywa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK hajui kabisa kabisa Urais ktk hili, au anadanganywa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Elifasi, Apr 21, 2012.

 1. E

  Elifasi Senior Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ripoti ya CAG inapofikia hatua ya kujulikana kwetu wananchi wa kawaida, inamaana mkuu ambaye CIG anawajibika kwake kwa njia moja au nyingine, anakua ashaipata taarifa kamili ya yaliyomo. Je, mh. Ni kwamba amepima lakini hakudhani alistahili kufanya maamuzi yoyote hivyo kuendelea na safari yake ya kurudia starehe ya kubembea Brasilia, au anaelewa kola kitu, pamoja na umbumbumbu wetu, hivyo akaamua kuendelea na mambo take akijua hamna jipya, tutanyamaza tu??? Na kwa lolote lile kati ya tafsiri hizi na zaidi,, wewe unajiwajibishaje????
   
Loading...