Giza zito kuwafunika watanzania! Ikulu siri nzito

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,217
Ndugu wa Tanzania, napenda kusema kile kinaendelea ktk siasa za tanzania ni giza zito huku ikulu ikiwa na siri nzito.

Lolote laweza kutokea msishangae,tumuombe Mungu tupite salama. Mh Rais wa Jamuhur ya muungano Tanzania anakaz nzito 2015 nikama miaka 3000 kufika ama kutokufika it is a test of tm. Let pray 4TANZANIA
 
2015 JK atamkabidhi nchi Zitto Kabwe, hutaki jinyonge, just wait n see. Mark my words! Bookmark this page!
 
Ndugu wa Tanzania, napenda kusema kile kinaendelea ktk siasa za tanzania ni giza zito huku ikulu ikiwa na siri nzito. Lolote laweza kutokea msishangae,tumuombe Mungu tupite salama. Mh Rais wa Jamuhur ya muungano Tanzania anakaz nzito 2015 nikama miaka 3000 kufika ama kutokufika it is a test of tm. Let pray 4TANZANIA

what-the-hell-did-you-just-post-spiderman-baqLrz.jpg



Samahani, ulitaka kusema nini hasa?​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom