Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtemiwao, Apr 20, 2012.

 1. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf,nimepata habari toka kwa jamaa yangu alieko gta kuwa dr slaa na g.lema leo (mida hii)wanaeneza moto wa ukombozi kwa wakazi wa gta,kama kuna mwana jf aliyeko sehmu ya tukio tafadhali atupe live
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  M4C ni zaidi ya political tsunami. Inasomba watu wote. Viva CDM
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  wa geita watupe vipicha aisee
   
 4. n

  newazz JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Tanzania inakombolewa , PEOPLE'S POWER = CDM

  Kila mwenye macho, masikio, haitaji kuambiwa au kuonyeshwa wakati umefika uliosubiriwa muda mrefu wa kuirudisha nchi mikononi mwa wenye nchi . Nilisubiri niko sekondari, sikupata, vyama vya upinzani vikaingia.

  Nyerere akasema , ninaona chama pekee cha upinzani ni CHADEMA.

  Na sasa CDM inachukua nchi, kila mtanzania halisi ni wakati wetu wa mwanzo mpya, hongera wapiganaji, tupo pamoja, kuwang'oa hawa magamba.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  It is proud 2 be chadema
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Well done!
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkutano umeshaanza,sasa kamaliza kuongea aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Sombetini kabla ya kuhamia CDM ndugu Mawazo Alphonce na sasa kamanda Lema anapanda jukwaani.Watu ni wengi sana,hakika uwanja wa magereza umetapika,tutaanzisha thread kwa ajili ya picha hapo baadaye.
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kesho madiwani wanne na wenyeviti wa vitongoji 22.
  Keshokutwa tutasikia Madiwani 50 kutoka Iringa, 50 Pwani, 50 Singida, 50 Tabora!

  Yaani itafikia CHADEMA watazidiwa na mapokezi ya wageni sijui itakuwaje.
  Makamanda karibuni CHADEMA karibuni kwenye harakati za Ukombozi.

  Angalizo: CHADEMA Makao Makuu kadi zinahitajika kwa wingi sana, kwa mfano hapa Arusha zinahitajika kadi zaidi ya 2000 zinahitajika, watu wamedertermine kurudisha kadi za ccm tumeshindwa kuwapa za chama tumeishiwa!
  Tumani Makene take into consideration plse!
   
 9. m

  mkuu wa kambi Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ee Mungu watie nguvu makamanda wetu, ukombozi utimie mapema, wananchi twateseka sana na haya maisha.
  Teketeza ma-ccm yote, yametutesa sana, alafu mungu, saidia zile kura 71 zipatikane leo jioni.
  Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!
  Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
   
 10. M

  Makindo Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu wetu anatupigania,kwa nia njema aliyokuwa nayo Dr na viongozi wengine na sisi tutashuhudia uhuru wa nchi yetu toka kwa mkoloni ccm.Tunaanza na Mungu,tunamaliza na Mungu
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Update tafadhali,arusha na hapo ni mbali twawategemea ku2juza
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  picha tafadhali waungwana tupate raha kamili.
   
 13. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kama nilivyoahidi Jana kwamba nitawaletea Picha wakati ktano ukiendelea.Baada ya kikao cha Ndani kilichoahirishwa kwa muda ili kupata fursa ya mkutano wa Hadhara.Dr slaa amepokea madiwani wa CCM kutoka sengerema baada ya Chadema,pia diwani wa Sombetini-Arusha amesimama jukwaani na Kuhutubia.

  IMG_4112.jpg

  Dr Slaa akiongoza kikao cha ndani

  IMG_4148.jpg

  Mkutano wa hadhara

  IMG_4145.jpg

  Kwenye picha hapo juu Diwani Tabasamu(aliyevaa kombati wanaokumbatiana) akipokelewa na makamanda


  IMG_4141.jpg IMG_4146.jpg
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante Ben kwa taarifa.Tupatie na picha za mkutano wa hadhara.
   
 15. D

  Dewiny Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C songa mbele waambieni hata wakibana Bungeni kazi ipo palepale tu 2015.!
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Asante sana kamanda....
   
 17. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huu mdundo lazima ccm waucheze wakiwa uchi ha ha ha! she yahaya atafufuka!!
   
 18. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Dogo leo umefantya kazi yako...

  Hustahili adhabu!!

  Thanks.
   
 19. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba niulize, hilo kombati ameshona lini, au alikuwa nalo tayari nyumbani?
   
 20. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kama nimekusoma vizuri una maana madiwani wawili wa Sengerema na mmoja wa Arusha Sombetini. Baada ya kikao cha bunge turudishiwe ile operation Twanga Kotekote tuwaraaaaammbeeeee hawa magamba.
   
Loading...