Wanachama wa CHADEMA wilayani Meatu wajiunga CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachama wa CHADEMA wilayani Meatu wajiunga CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salimia, Apr 19, 2012.

 1. S

  Salimia JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

  Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.


  Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
   
 2. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  uhakiki plz
   
 3. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tunawatakia safari njema, wakiimarishe chama chao kitakapokuwa cha upinzani. This is sooner than one could expect
   
 4. M

  MENDE JEURI Senior Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli wanaboa hawa wanachama wanaoyumbayumba, mara ccm mara chadema. yaani ukikosa cheo huku unakimbilia kule. Patamu sana
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huu ni uwongo wa kutisha
   
 6. mka

  mka JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu? Uko serious mkuu kuwa huko Meatu viongozi wa kata 6 wapo 918?
   
 7. maphie

  maphie Senior Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  safari ya kurudi tena cdm hakuna, waungane na mti mbovu
   
 8. M

  MENDE JEURI Senior Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  usiogope kaka, kisu hukata kikienda mbele na kikirudi nyuma kinakata pia
   
 9. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nyumba inapokuwa ikiungua wapo wanaojaribu kuingia ndani kuokoa vitu vidogovidogo.
  Iko sawa ngoja waende ccm moto ukikolea watatoka muda si mrefu.
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Meatu ya wapi hiyo unaidanganyia?
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jamani kama uongo basi ufanane fanane na ukweli.
   
 12. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huu ni uongo wa kutisha, ni sawa mtu akwambie amemuona tembo yupo juu ya mti!!!!!!!!!!!!!
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  vitongoji 6 = Wenyeviti na makatibu 916
   
 14. a

  adobe JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  acha upuuzi
   
 15. m

  maramojatu Senior Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hakuna mwenye akili anayeweza kujiunga na magamba. magamba yanaweweseka, hiyo si kweli. acha kufanya watanzania wajinga. imekula kwako.
   
 16. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Kawadanganye wajinga wenzako ccm kule!
   
 17. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  nendeni salama huku hakuna t-shirt moja kwa miaka mitano,bila malapa wala suruali
   
 18. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwani mimi nikijamba lazima na wewe ujambe ha ha ha ! akili imejaa gundi hii! we si ungekunya kabisa ha ha ha! jaribu nyingine hii ya kitoto sana kama ya Lusinde BIG LOOOOOOOOOOOL!
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Wamefanya jambo la maana sana kwa kuhama toka chama cha Ukanda wa Kaskazini.
   
 20. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Great thinkers!!! Muwe mnachambua mnacholetewa humu
   
Loading...