Kikwete Anatakiwa Kujiuzulu Kupisha Uchaguzi Mkuu/ Waziri Mkuu Pia Kujiuzulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Anatakiwa Kujiuzulu Kupisha Uchaguzi Mkuu/ Waziri Mkuu Pia Kujiuzulu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ukombozi Sasa, Apr 20, 2012.

 1. U

  Ukombozi Sasa Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za ukakika kesho zinasema Raisi Kikwete kesho 21/4/2012, mjini Dodoma kupunguza mukari wa Wabunge wa CCM katika kuungana na Chadema ili kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

  Kwenye habari za awali zinaelezea mawaziri nane wanaotakiwa kujiuzulu, lakini pia kuna habari za yakuwa Waziri Mkuu Pinda anaweza kujiuzulu. Iwapo itakuwa hivi basi inaonyesha jinsi gani rais huyu ambavyo ameshidwa kutoongoza sisi watanzania na hivyo basi na yeye hana budi kufanya maamuzi magumu ya kuitisha uchaguzi mapema na kuachi madaraka. Hili litakuwa jambo jema kwa yeye kufanya na hakika watanzania watamkumbuka kwa uamuzi huu.
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  And the M4C again and again
   
 3. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Hko sawa mkuu
   
Loading...