Inakuwaje Waziri aseme ndio serikali inatambua uhaba wa vitabu mashuleni?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje Waziri aseme ndio serikali inatambua uhaba wa vitabu mashuleni?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kahaluaJr, Apr 21, 2012.

 1. k

  kahaluaJr Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu mie nasikitikana sana mara kwa mara nikisikia mawaziri wakisema ooh serikali inatambua kuwa kuna uhaba wa vitendea kazi mashuleni?Sasa swali la kujiuliza kama kweli wanatambua hilo ni kitu gani kinawafanya wasinunue vitendea kazi hivyo?Pili nilimshangaa sana waziri wa Elimu anasema ati serikali imedhamiria kutumia hela ya chenji iliyorudishwa kutoka England ili itumike kununulia vitendea kazi kama vitabu nk.Swali lingine je kama kusingekuwa na chenji hizo wangefanyaje? Na je bajeti ya Elimu au ya kuboresha Elimu iko wapi?na kama wanatumia cheni hiyo zitakwenda wapi zile fedha ambazo zilishapitishwa kwenye bajeti???Naomba ushirikiano wa kudiscuss, hii ni kwa maendeleo ya nchi yetu tuweke siasa pembeni Ahsanteni:crying:
   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hatuwezi kuweka siasa pembeni kwa vile umeileta kwenye jukwaa la siasa.
   
 3. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  Hebu lala kwanza ukiamka kale mtori uondoe ze laga mukichwa then urudi kuchangia, maana unaonekana kama mjivuni flani vile. Kama huna cha kuchangia hebu kumbatia mkeo ulale au fungua fridge ongeza moja ya kulalia mazee.
   
Loading...