urais 2015 ndio unaoitesa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

urais 2015 ndio unaoitesa serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Apr 20, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wiki kadhaa zilizopita,vyombo vya habari hapa nchini vilipambwa mfululizo na habari za viongozi kadhaa hapa nchini kutangaza nia kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akiwemo mbunge wa kigoma kaskazini Zitto Kabwe,waziri wa Afrika mashariki Samwel Sitta huku wengine wakitajwa bila wao kusema lolote huku wakionekana wakifanya harakati mbali mbali kufanikisha lengo la kuingia ikulu.

  Je,madudu yanayofanywa na watendaji wa serikali ikiwamo mawaziri ni support kubwa kwa wataka urais kutumia mwanya huo kuwabeba kufanikisha lengo????

  my take.tusifumbie macho madudu yanayofanywa na watendaji wa serikali hasa mawaziri lakini tuwe macho na wataka urais.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0  • [​IMG]Comrade Sambala NDIO MAANA NATABIRI ZZK KUWA RAIS AJAYE...30 minutes ago ยท Like


  • [​IMG]Anna Khaday kamanda wa ukweli anajua anachokifanya, najua katumwa na nani na kwa maslahi ya nani
   
Loading...