Nini kitatokea nchini ili rais asitishe ziara?

Hobic11ac

Member
Apr 7, 2012
29
7
Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu aliahirisha ziara ughaibuni kwa sababu ya kifo cha kanumba anashindwa nini kurudi nyumbani kutatua matatizo yote haya?
 
Rais wetu anazo taarifa za nchi kuwa ktk hali mbaya kiuchumi, anachosubiri yeye ni kuita kikao cha WAZEE WA MKOA WA DAR ili walaani kitendo cha wabunge wanaopiga vita ubadhirifu ndani ya wizara na Idara serikalini.
Msisahau historia ya Bw. JK yeye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwake ni MWIKO na huenda ni nadhiri yake aliyoiweka ili kupata urais wa nchi hii.
Akitoka huko anaenda MALAWI na huenda akaenda Sudan kutanzua mgogoro wa uhasama uliopo North/South.
 
Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu aliahirisha ziara ughaibuni kwa sababu ya kifo cha kanumba anashindwa nini kurudi nyumbani kutatua matatizo yote haya?

Uliwahi kusikia maiti imejamba?

basi wala usiwe na matumaini wa kutokea miujiza Pedeshee akaacha ishu zake kwa sababu ya msiba kwa jirani.

Hapa ni kuchukua maamuzi magumu kama wamisiri.
 
Hakuna lolote la maana analokwenda kulifanya huko, ni uzururaji tu kwa gharama ya kodi zetu kila siku
Haya mambo ya Pwani haya unaweza ukakuta (nina uhakika 90% bado nafanya uchunguzi) kuna ka small house huko kamemchanganya mtu mzima (usifanye mchezo na hii kitu hii) ambako katukatu hakataki kuja Tz (ni maskini sana, pachafu, pananuka au hakataki kumharibia kwa mama/public)
Vinginevyo sioni kabisa maana ya hizi safari za kuvinjari za Ughaibuni zisizokwisha na zisizojali gharama zake kubwa wakati serikali na wananchi wake tupo hoi!
Kakifa hako naamini hizi safari za kila siku zitakwisha
 
sikuwahi kufikiri hata siku moja ndoo zenye udongo kugeuka shamba la nyanya zenye ubora wa juu.

hakwenda kukagua nyanya peke yake alikwenda kwenye mkutano wa uwekezaji lakini zaidi ulikiona kilimo cha nyanya kinacholimwa kwenye makopo/ ndoo?

Hii inaonyesha kwamba hata watu wa kwenye kichanga au udongo usio na rutuba wanaweza kulima kama udongo utachukuliwa sehemu nyingine ya nchi.
 
Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu aliahirisha ziara ughaibuni kwa sababu ya kifo cha kanumba anashindwa nini kurudi nyumbani kutatua matatizo yote haya?
KIKWETE NI MZIGO KWA TAIFA LETU.
Huyu Rais wetu sio mzalendo hata kidogo.
Anadidimiza uchumi, anachochea udini, analea ufisadi, amejilimbikizia mali na wala hana ndoto ysa kusukumambele gurudumu la maendeleo la taifa letu
 
Hakuna lolote la maana analokwenda kulifanya huko, ni uzururaji tu kwa gharama ya kodi zetu kila siku
Haya mambo ya Pwani haya unaweza ukakuta (nina uhakika 90% bado nafanya uchunguzi) kuna ka small house huko kamemchanganya mtu mzima (usifanye mchezo na hii kitu hii) ambako katukatu hakataki kuja Tz (ni maskini sana, pachafu, pananuka au hakataki kumharibia kwa mama/public)
Vinginevyo sioni kabisa maana ya hizi safari za kuvinjari za Ughaibuni zisizokwisha na zisizojali gharama zake kubwa wakati serikali na wananchi wake tupo hoi!
Kakifa hako naamini hizi safari za kila siku zitakwisha

Tunahitaji great thinkers hapa acha cinema tunapojadili mambo ya msingi ya taifa letu wewe unavuruga mada bila ushahidi
 
KIKWETE NI MZIGO KWA TAIFA LETU.
Huyu Rais wetu sio mzalendo hata kidogo.
Anadidimiza uchumi, anachochea udini, analea ufisadi, amejilimbikizia mali na wala hana ndoto ysa kusukumambele gurudumu la maendeleo la taifa letu

Polepole ndugu humu wamo watu wa imani tofauti utawagusa na wengine wasiohusika.
 
sikuwahi kufikiri hata siku moja ndoo zenye udongo kugeuka shamba la nyanya zenye ubora wa juu. hakwenda kukagua nyanya peke yake alikwenda kwenye mkutano wa uwekezaji lakini zaidi ulikiona kilimo cha nyanya kinacholimwa kwenye makopo/ ndoo? Hii inaonyesha kwamba hata watu wa kwenye kichanga au udongo usio na rutuba wanaweza kulima kama udongo utachukuliwa sehemu nyingine ya nchi.
hata kichwa nazi kinafaa kulimwa kwenye ndoo, ushahidi uko magogoni
 
Yani rais anaenda brazil kwenda kukagua nyanya tu???

sikuwahi kufikiri hata siku moja ndoo zenye udongo kugeuka shamba la nyanya zenye ubora wa juu.

hakwenda kukagua nyanya peke yake alikwenda kwenye mkutano wa uwekezaji lakini zaidi ulikiona kilimo cha nyanya kinacholimwa kwenye makopo/ ndoo?

Hii inaonyesha kwamba hata watu wa kwenye kichanga au udongo usio na rutuba wanaweza kulima kama udongo utachukuliwa sehemu nyingine ya nchi.
 
TUMHURUMIE TU WAKUU! kwani ukiwa na baba punguani utamsema mbele za watu??
 
Back
Top Bottom