Wariri mponda ashitakiwe haitoshi kujiuzuru tu

step

Senior Member
Jun 4, 2011
190
75
Kilio cha Madaktari sasa kimesikika baada ya Wabunge kuwaunga mkono na kumshinikiza waziri asiyefanya kazi ajiuzuru. Lakini hii haitoshi kwa kuwa alisababisha watu wengi kufariki kwa uongozi wake mbovu na kukataa kujiuzuru tunaomba wanasheria waangalie uwezekano wa kumshitaki huyu mtu.
 
Back
Top Bottom