Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makongoro Nyerere kadhihilisha hilo leo Bungeni. Anajiamini, anapoints, hanyenyekei kuomba kura, anaonyesha msimamo, anakemea na kutoa angalizo, kama mzaha flani anaweka na jokes kidogo. Maadili...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimeota ndoto kama ni ya kweli au la lakini nimeamua kuianika hapa. Wabunge wa CCM ni kama timu ya mpira daraja la kwanza. Timu isipofanya vizuri huteremka daraja, haina maana mchezaji ameteremka...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Kunauwezekano,CCM ikaaga 2o15 kama kweli mawaziri hawa hawatajiuzuru ,kunaukweli usiorasmi kuwa mawaziri wamesoma upepo wawazi kuwa ccm inaweza kuja dondoka uchaguzi ujao hivyo kila waziri kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chanzo: mpayukaji blog Umati wa watu kwenye viwanja vya Taharir mjini Cairo unaoandamana kushinikiza utawala wa kijeshi uachie ngaziuachie ngazi. Wamisri wameamka tena na kurejea uwanja wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pamoja na tuhuma zote zilizoibuliwa kuhusu ubadirifu na matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya mawaziri, imeonekana dhahiri hakuna hatua zitakazochukuliwa dhidi ya watuhumiwa wakuu ambao ni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndiyo wakuu! Leo hii kauli ya mjinga akijitambua mwerevu upo matatani inakwenda kutimia leo hii Sengerema pale Dr Slaa atakapo kuwa anahutubia mkutano ktk ziara yake kanda ya ziwa akitokea...
11 Reactions
58 Replies
6K Views
Hakuna shaka kwamba ifikapo mwaka 2015 au kabla ya hapo kutatokea mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi Tanzania! Lakini taswira iliyopo ni kwamba mabadiliko hayo hayataihusisha CCM ambayo yenyewe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la...
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamani kwa wanaofutilia ziara ya Kikwete Brazil kwenye Mkutano wa OGP hivi una wajumbe wangapi? hesabu Per Diem zao, hotel, etc, Na je nchi kama Marekaniimepeleka wajumbe wangapi katika Mkutano...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Bunge ndio linaisha jumatatu kwa staili ambayo bado hatujaweza kuitabiri vyema. Sijabahatika kumsikia Lusinde popote. Aliwatukana cdm kuwa wamechanjwa chale makalioni. Alisema baadhi yao...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika Dunia hii yetu na hasa Bongo mambo hubadilika. Yasiyowezekana huwezekana. Ngoma inaendelea nje ndani- ndani nje -Hivi ukipiga picha ya Chadema ijayo ikatokea kuongozwa na Lowasa itakuwaje?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila mtu ameshuhudia sakata linaloendelea bungeni! Tumeshuhudia uozo wa ajabu kwenye ripoti ya CAG na zile za Zitto, Mrema,na Cheyo! Tumeshuhudia wabunge wetu vijana akina zitto wakiwabana mawziri...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Wanajamii mpaka sasa hivi bado nina maswali nadhani mtanipa majibu. Mpaka sasa hivi mbona sijafahamu kwa nini wabunge wa CUF,TLP, wametia sahihi katika hoja ya Zitto ya kutokuwa na imani na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeipenda hiii Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM Send to a friend Tuesday, 26 April 2011 21:02 0diggsdigg Ramadhan Semtawa KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Mnaona wenzenu waliochagua watu wa maana wanavyotamba, wanasema wanasikika, nyie Somali lenu limelowa kama limemwagiwa maji, linaogopa likisema wataliambia lenyewe Somali , sheuri yenu na uvivu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
meli maarufu kama meli ya magufuri iliyokamatwa kwa uvuvi haramu ikivua samaki aina ya jodari inaendelea kuzama bahari hindi katika bandari ya Nundu mara baada ya kupata matundu madogo madogo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi kinasifika kwa sera za kulindana maarufu kama mwenzetu. Hali ilivyo ni kwamba ule moto wa jana wa 'kujiuzulu' saba unaendelea kuzimika. Je ikitokea jamaa wakafanya kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli..... Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Popote ulipo nape tafadhali toa ufafanuzi haraka kuhusu mawaziri hao kujiuzulu, my take" huko maofisini wizi mkali unapangwa kwa kuwa ni kama serikali haipo. Rais yupo ughaibuni, waziri mkuu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kwa muda wa miaka mingi hivi sasa kumekuwa na taboo inayoambatana na uonevu katika nafasi za uongozi, leo imefika wizara moja ya Mungano inawanyima na kuwabaguwa wasomi kutoka upande mmoja...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…