Godbless Lema azidi kuipasua CCM

Exaud Mamuya

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
403
242
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli na mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini na balozi wa kitongoji cha magadini amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kama mdau mkubwa sana wa CHADEMA mkoani Arusha napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha sana Chadema kamanda kutoka ccm na kukupongeza sana kamanda mpambanaji jembe la ukweli mh sana Godless Lema kwa harakati zako za ukombozi wa Taifa langu zuri Tanzania.
 
Ivi kumbe we mamuya,upo wapi nowdayz mukubwa.pamoja mwana.mi mshkaji wako.2TAFTANE DECEMBA JIONI KAMANDA
 
Kuna madiwani kama watano hivi kutoka Monduli watajiunga chadema, tunasubiri materials kutoka makao makuu zoezi likamilike.
 
Mkuu, hao ni watu wanne tofauti au ni mtu mmoja aliyekuwa na vyeo vinne tofauti? Maanake umesema:
i. katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha
ii. mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli
iii. mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini
iv. balozi wa kitongoji cha magadini

halafu ukamalizia na "amejiunga". Asante kwa taarifa, however!
 
jamani CCM NDO INAPITA hivyo tafaadhaali Tuipungie mikono ya bye byeeeee!
 
Mkuu, hao ni watu wanne tofauti au ni mtu mmoja aliyekuwa na vyeo vinne tofauti? Maanake umesema:
i. katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha
ii. mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli
iii. mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini
iv. balozi wa kitongoji cha magadini

halafu ukamalizia na "amejiunga". Asante kwa taarifa, however!

ni typing errors tu.
Jabulani rudisha ile Avatar yako Mkuu inakutoa fresh
 
CCM inafia mikononi mwa kikwete Live!! Tena haitafika 2014,asomaye na afahamu!!!
 
Ivi kumbe we mamuya,upo wapi nowdayz mukubwa.pamoja mwana.mi mshkaji wako.2TAFTANE DECEMBA JIONI KAMANDA

Ndiyo kijiwe changu Kamanda!

Tutambuane Kamanda D L!

afu liverpool nakutaftaga sana.ngoja kesho ntakupa line 2taftane VIA VOICE.
@DALLAI LAMA
@LiverpoolFC
Aisee wakubwa,
Kama ni pale December, tutafutane bana, kwanini mjifiche jombaa?
Kesho niko free, embu tukakae kama kamati tujadili mstakabali, L/PoolFC u know what i say!
 
@DALLAI LAMA
@LiverpoolFC
Aisee wakubwa,
Kama ni pale December, tutafutane bana, kwanini mjifiche jombaa?
Kesho niko free, embu tukakae kama kamati tujadili mstakabali, L/PoolFC u know what i say!
Msijadili mstakabali na KONYAGI mezani, ni angalizo tu!!
 
@DALLAI LAMA
@LiverpoolFC
Aisee wakubwa,
Kama ni pale December, tutafutane bana, kwanini mjifiche jombaa?
Kesho niko free, embu tukakae kama kamati tujadili mstakabali, L/PoolFC u know what i say!

i'll mek it bandugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom