OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?


source: ITV news
 
kwa mujibu wa mrisho gambo milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya uvccm. Amemtaadharisha mbowe kuwa millya ni tapeli.....sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchkulia hatua ina maana ccm wanafuga matapeli?

Amekuwa tapeli baada ya kuondoka UVCCM? Na UVCCM kama taasisi haina akaunti benki? Ni kwa nini basi fedha za taasisi akae nazo mtu binafsi? Acheni siasa chafu jamani. Haya mnayoyasema yatawarudi ninyi
 
eti ni tokea 2008.
Je, muda wote walikuwa wapi kuhitaji taarifa hii....?
 
Mtu akiwa anazama lazima atapetape CCM WANATAPATAPA NA BADO,ANZENI KUWASHITAKI AMBAO HAWAJAHAMA ILI WAKIENDA CDM HAPO TUTAAMINI KUWA KWELI.LAKINI KWA HILI TUNA WASIWASI NA MATAMSHI YENU UVCCM ARUSHA.
 
Leo ndio wamemuona ni tapeli siku zote walinyamaza, inaonekana CCM kuna matepeli wengi ila wanafugwa kwa hali na mali. Millya ameshindwa kuendelea kua tapeli ndio maana kaamua kujitoa kwenye utapeli.
 
Maajabu ya Mussa, fedha anatunza mweka hazina au mwenyekiti? Kumbe ndio maana chama kinaparanganyika kwa sababu ya uongozi dhaifu, wanasema ccm ni taasisi halafu mtunza fedha anakuwa mwenyekiti? Pia tujiulize why toka 2008 hawajamdai huto tu milioni tuwili kama sio kujiaibisha. Diwani wa Sombetini mnamdai nini tumchangie?
 
kwani UVCCM Arusha haina mweka hazina?? na signatory huwa ni katibu au Mkiti?? Mbabaishaji huyo mrosho gambo
 
Back
Top Bottom