Vuta Pumzi Piga Picha ya Chadema ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vuta Pumzi Piga Picha ya Chadema ijayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Apr 21, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 988
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Katika Dunia hii yetu na hasa Bongo mambo hubadilika. Yasiyowezekana
  huwezekana. Ngoma inaendelea nje ndani- ndani nje -Hivi ukipiga picha ya Chadema ijayo ikatokea kuongozwa na Lowasa itakuwaje?
   
 2. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,923
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  .
  ... ngoja nivute pumzi kwanza ... nikimaliza ntarudi!

  .
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Sijakuelewa mkuu,kama nimekuelewa Slaa atakuwa Rais,mimi ntakuwa Mnikulu.
   
 4. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 10,101
  Likes Received: 3,039
  Trophy Points: 280
  No image meaning impossible...
   
 5. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 988
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Mkuu usikate tamaa try harder
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,297
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Lowassa??! Umelogwa? Kafie mbele, Lowassa is not compatible to CDM.
   
 7. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lowasa edo mwana wa ngoyai,,,jitu kubwa jina nene,,,,kila mtu kila saa kila dkk,,,lowasa,,lowasa,,,,lowasa..wanainama wakiinkwuka huka,,,lowasa,,lowasa,,,wanalala,,wanaota lowasa lowasa,,lowasa,,,kila wakati kwa ubaya kwa uzuri,,lowasa.lowasa,,,,,,,wanaweweseka,,,lowasa,,lowasa,,,,taharuki,,maruerue,,,,,,mihemko,,,,bp,,,lowasa lowasa,,,,,jina hili,,,,jina l,o,w,a.s.a..................ninapotafakari,,,napata picha,,,,,,,nabii si lazima awe mzee,,,,,,,,,,lowasa edo ngoyai usinisahau katika ufalme wako,,,,,,,wape wtzd,,,,,elimu bora,,,ajira na imarsha afya na miundombinu,,,ukumbukwe kwa hilo,,,,,,maji,,,,heshma ya taifa,,,nipe kazi ya kukukumbusha tu kuwa hata ukiiba wekeza tzd tupate ajira,,,,,,udc hata mafia poa tu,,,,,,ukerewe,,,,hamna sida,,,,,hsa,,ha,ha,,,ha,hahaaaaaaaaaaaa////////
   
 8. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamasai wasilinde vitasa bwana,,,heshma yakeng,ombe,,wekesa isiwe yatima,,sasa nakula dagaaaaaa,aibu,
   
Loading...