Hoja ya mheshimiwa zitto na cuf&tlp | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya mheshimiwa zitto na cuf&tlp

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lidoda, Apr 21, 2012.

 1. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 631
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 80

  Wanajamii mpaka sasa hivi bado nina maswali nadhani mtanipa majibu. Mpaka sasa hivi mbona sijafahamu kwa nini wabunge wa CUF,TLP, wametia sahihi katika hoja ya Zitto ya kutokuwa na imani na utendaji wa Pinda. Mbona tangu mwanzoni mwa bunge hili walikuwa pamoja na magamba???!!! Ukianzanzia kura zote walizopiga wakati wa kumchagua spika kati ya Mheshimiwa Marando(CDM) na Anna Makinda(CCM), hawa wabunge wote walimpa kura Mheshimiwa Makinda.Sasa kinachonishangaza vilevile huu uwingi wao, yaani kama sikosei nafikiri wabunge wote wa CUF wameweka sahii ya kutokuwa na imani na Pinda, sasa hapa kuna nini? Je wameshagundua kuwa walikuwa wanapelekeshwa na Magamba bila fada yeyote? Je wanaogopa kura za majimboni? Nakama kweli amri ya wana CUF imetoka makao makuu kama inavyosemekana na makao makuu ni Maalimu Seif, je yeye na bosi wake huko ZNZ uko salaama kweli? Hii ndoa yao ni ya mkataba mpaka 2015?
  HAPA CHINI NI MAJINA YA WALIOPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA PINDA
  1 5. Deo H Filikuchombe- CCM
  2 18. Aphaxar K Lugola- CCM
  3 2. Chiku Aflah Abwao -CDM
  4 6. Pauline P. Gekul-CDM
  5 8. Prof.Kuliyokela Kahigi- CDM
  6 9. Naomi M Kaihula – CDM
  7 10. Sylvester Kasulumbayi- CDM
  8 11. Raya Ibrahim Khamis - CDM
  9 13. Susan L Kiwanga-CDM
  10 14. Grace Kiwelu CDM
  11 16. Joshua S Nassari –CDM
  12 17. Tundu A Lissu- CDM
  13 19. Susan A Lyimo- CDM
  14 21. John Shibuda Magalle - CDM
  15 23. Esther N Matiko-CDM
  16 24. Joseph Mbilinyi- CDM
  17 25. Freeman Mbowe- CDM
  18 26. Kurudhum J. Mchuchuli – CDM
  19 27. Halima Mdee-CDM
  20 28. John Mnyika- CDM
  21 30. Maryam S Msabaha- CDM
  22 31. Peter Msingwa-CDM
  23 32. Christowaja G Mtinda -CDM
  24 33. Philipa G Mturano- CDM
  25 34. Christina L Mughwai- CDM
  26 35. Joyce Mukya – CDM
  27 36. Israel Y Natse – CDM
  28 37. Philemon Ndesamburo- CDM
  29 39. Vincent Nyerere- CDM
  30 41. Meshack J Opulukwa- CDM
  31 42. Lucy Owenya- CDM
  32 43.Rachel Mashishanga- CDM
  33 44. Mhonga Ruhwanya – CDM
  34 45. Conchesta Rwamlaza – CDM
  35 47. Joseph R Selasini – CDM
  36 48. David E Silinde-CDM
  37 49. Rose Kamili - CDM
  38 50. Cecilia Paresso- CDM
  39 51. Kabwe Zuberi Zitto- CDM
  40 53. Rebecca Mngodo- CDM
  41 54. Sabreena Sungura -CDM
  42 56. Mustapha Boay Akoonay -CDM
  43 62. Mhe. Anna Marystella Mallack -CDM
  44 1. Rashid Ali Abdallah -CUF
  45 3. Salum Ali Mbarouk -CUF
  46 4. Salum Khalfam Barwany -CUF
  47 7. Asaa O Hamad-CUF
  48 12. Mkiwa H. Kiwanga CUF
  49 15. Kombo H Kombo CUF
  50 22. Faki Haji Makame-CUF
  51 38. Ahmed Juma Ngwali-CUF
  52 40. Rashid Ali Omar-CUF
  53 46. Moza Abedi Saidy-CUF
  54 52. Magdalena Sakaya – CUF
  55 55. Rukia Kassim Ahmed - CUF
  56 57. Mhe. Abdallah haji Ali - CUF
  57 58. Mhe.Khatibu Said Haji. - CUF
  58 59. Mhe. Hamad Ali Hamad - CUF
  59 60. Mhe. Riziki Omar Juma - CUF
  60 61. Mhe. Haji Khatib Kai - CUF*
  61 63. Mhe. Hamad Rashid Mohamed - CUF
  62 64. Mhe. Rajab Mbarouk Mohamed - CUF
  63 65. Mhe. Thuwayba Idrisa - CUF
  64 66. Mhe.Masoud Abdallah Salum - CUF
  65 67. Mhe. Muhammad Ibrahim Sanya - CUF
  66 68. Mhe.Ali Khamis Seif - CUF
  67 69. Mhe.Haroub Muhammed Shamis - CUF
  68 70. Mhe. Amina Amour. Nassoro. - CUF
  69 20. Moses Machali – NCCR
  70 29. Augustino L Mrema- TLP
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Taifa mbele mkuu!!!
   
 3. A2 P

  A2 P Senior Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu kizuri kama unajua kusoma nyakati. Wenzetu wameshaanza kujitambua
   
 4. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 631
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 80
  Siku zone walikuwa wapi? Hawakujua taifa mbele?
   
 5. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 255
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kafulila!? upo wapi?
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kuwa mbunge wa ccmni sawa na kuwa mlinzi kwenye nyumba ya mhindi, sorry kwa kuweka race/mfananisho wa kirangi.
  Nia yangu ni kuonyesha tabia za hao ndugu zetu!!
   
 7. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati,,,,,,,nyakati,,,,,,,hali ya upepo,,,hali ya uwanja wa vita kisiasa,,,,,,,political advantagies,,,,,,public suppot,,,,,,oppoturnity to win mojority,,,,,,kuelekea uchaguzi mkuu,,,,,,,kisulisuli cha cdm,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ntarejea bdae,,,,,,
   
 8. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nahisi ile 3,000,0000,000,000.00 WALIYOCHUKUA CUF KUACHIA URAIS ZENJI INAKARIBIA KWISHA SASA WANAJIHAMI 2012 WATAAINGIA CDM KAMA SIYO KUWAUNGA MKONO? MAGAMBA HAWAAMINIKI
   
 9. l

  liverpool2012 Senior Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubunge wake ni wa mahakama,chama akija mwambia aweke sahihi.
   
Loading...