Wanyamwezi chagueni mnyamwezi awasemeeni Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanyamwezi chagueni mnyamwezi awasemeeni Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebaeban, Apr 21, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Mnaona wenzenu waliochagua watu wa maana wanavyotamba, wanasema wanasikika, nyie Somali lenu limelowa kama limemwagiwa maji, linaogopa likisema wataliambia lenyewe Somali , sheuri yenu na uvivu wenu wa kupiga dulu za mbali, kahawa zenu mlizohongwa ndo zimewafikisheni hapo mbulukenge nyie.
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mtoto wa Mjini RAGE kawaingiza Mjini!
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  ujumbe umefika mkuu but hapo kwenye unyamwezi umekosea kidogo kwani badala ya ku inspire ukombozi wa Tabora inakuwa kama una inspire ukabila fulani hivi, but wanyamwezi wa tabora wanatakiwa wamchague kiongozi kutoka chama makini na ambaye ana uzalendo pasipo kujali kabila lake but asiwe al shaba bau kama Rage, na in short wachague chadema 4 tabora liberation.
  Solidarity forever.
   
 4. m

  massai JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wachane hao mbulukenge,wana njaa na akili finyu sana,huo ndio uswahili na ndio madhara yake hayo,wanaleta usuahili kwenye mambo ya msingi
   
 5. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kaharufu ka ubaguzi wa kikabila.. SIJUI NAISKIA SAWASAWA.. MH!! KHHHH!! toka!!
   
 6. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,263
  Likes Received: 3,099
  Trophy Points: 280
  Duh sis tunakwenda mbele wengine wanaturudisha zama za mawe.... :A S-confused1::A S-confused1: tutafika kweli?????
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wewe mgogo wa Mpwapwa ni bora ya hao wanyamwezi walisimamisha wagombea wa upinzani chaguzi zilizopita na wapinzani walipata kura za kuridhisha, jimbo lako la Mpwapwa halijawahi kusimamisha mgombea wa upinzani tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Funga domo lako, Mgogo na maendeleo ni sungura na paka
   
 8. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mie wa mkoa mpya wa Katavi ndo sisemi maana mmmmmmh wa kwangu wanataka kumpiga za uso
   
 9. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wanyamwezi na wagogo wanachekana nini wakati hadi leo wanajua rais ni Nyerere tuu?
   
 10. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani mnamzungumzia mbunge gani?
   
 11. Lavie

  Lavie Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naunga mkono hoja 100%
   
 12. H

  Han'some JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dodoma na Tabora mnahitaji M4C.

  Dr. Slaa na Lema watakuja tu. Acheni kukumbatia M**mba
   
Loading...