Nape tokeza kufafanua kujiuzulu kwa mawaziri wenu - Rai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape tokeza kufafanua kujiuzulu kwa mawaziri wenu - Rai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Apr 21, 2012.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Popote ulipo nape tafadhali toa ufafanuzi haraka kuhusu mawaziri hao kujiuzulu, my take" huko maofisini wizi mkali unapangwa kwa kuwa ni kama serikali haipo. Rais yupo ughaibuni, waziri mkuu kikaangoni akisubiri kufukuzwa, spika non direction, anapayuka hiki mara kile, inatakiwa busara kuweka mambo sawa kati ya leo na jumatatu
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nape ni VUVUZELA, Hajui ayasemayo zaidi ya kubwatuka!
   
 3. J

  JOHN MKUTANI New Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnieleweshe wanaJF NI kweli hawa magamba wamejiengua?
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,915
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Hawezi kusema lolote; tamko rasmi litatolewa na PM Pinda
   
 5. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hawezi tokelezea ng'o!!

  Mwisho wao huoooooooooo, waendelee tu ku karolaiti ila wajue hawana lao tena!
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wamejivua gamba...
   
 7. King2

  King2 JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  The VuVuzela nalo Ngoja muda wake uishe Mimvi ana hamu naye sana.
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 829
  Trophy Points: 280
  Atasema magamba wamejipima,wakaona ni heri wajivue gamba!pia chama bado kiko imara!!
   
 9. R

  Roosevelt Senior Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape mbona hana jipya
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  PINDA ALIVYO na kigugumizi atapamba sana kujiuzulu kwa mawaziri hawa, maana ana domo zito mno! NA ATAWAFANYA WANANCHI WAAMINI KUWA MAWAZIRI HAO WAMEONEWA!
  Hakyanani Pinda ni stooge!
   
 11. T

  Trackit Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni zaidi ya uongozi wa lowasa,natamani waziri mkali kama lowasa na mwenye maamuzi ya busara kama lowasa.Mtoto wa mkulima hana jipya zaidi ya kulia
   
 12. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  ...atasema;
  Nape, ...tulipanga kuwaondoa kitambo na walishapewa onyo na mh. Rais wakaendelea na uzembe. Na hapo demokrasia imetumika na bado mpaka chama kitakapotakata kabisa. CcM itadumu milele. Wapinzani wanajisumbua bure tu.
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna ushahidi gani kama hao mawaziri wamejiuzuru? Wametangaza wapi? Kabla ya kuanza kuomba matamko, ingekuwa vema kama tungesubiri kauli ya mwisho ya hao waliopo kwenye mamlaka watwambie wazi kwamba kweli wamejiuzuru. Lakini hivi sasa zinaweza kuvumishwa hizi story wee, halafu ukaambiwa wameghairi. Au huijui Tanzania?
   
 14. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Waandishi wa habari kama walimsikia Waziri Mkuu anaseema atatoa ufafanuzi Jumatatu,kwa nini hawakusema? Wao wamesema tu atatoa ufafanuzi baadaye,and every one is assuming that it will be tonight. Delay inaweza kuleta hali ya wasiwasi. Au inaweza kumaanisha watu watapata muda zaidi wa kujadili. Lakini huu sio mjadala wa watu. Hii ni wabunge wa CCM wamekaa kikao cha siri wameamua kuwafukuza kazi mawaziri. Hii haimhusu yoyote isipokuwa Wabunge Waziri Mkuu na Rais.
   
 15. c

  chamgema12 Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenena kaka, naongezea tu, Tanzania nizaidi ya uijuavyo!
   
 16. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,798
  Trophy Points: 280
  Hicho kikao kama pinda alishiriki kitakuwa batili, sababu naye anatakiwa kung'olewa, automatic anakosa uhali wa kula njama kuwafukuza wenzie wakati tupo stage ya kumkaanga yeye!
   
Loading...