Meli ya Samaki za Magufuli yaendelea kuzama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meli ya Samaki za Magufuli yaendelea kuzama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 21, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  meli maarufu kama meli ya magufuri iliyokamatwa kwa uvuvi haramu ikivua samaki aina ya jodari inaendelea kuzama bahari hindi katika bandari ya Nundu mara baada ya kupata matundu madogo madogo.

  Mahakama ilitoa uamuzi wa kuitaifisha na nakumbuka ilipangiwa na majukumu sijui hawa watendaji wetu wanatusaidia kwa lipi meli ya bure imetushinda hadi inaelekea kuzama kabisa Mungu atunyime tu.
   
 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,364
  Likes Received: 2,034
  Trophy Points: 280
  Ulitegemea nani akusaidie! ? Serikali ya CCM? Bora mkoloni kuliko CCM
   
 3. f

  fardia Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kulikoni kuiacha izame, ni bora waikodishe kwa mtu binafsi aifanyie kazi. Inasikitisha sana.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160  Akiamungu! Na cjui hata kwa nini ukoloni usirudi tu!
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  I wish ningezaliwa Kismayu somalia ningejua moja..vita daily rather than amani inayo2maliza ktk uchumi.
   
 6. SoNotorious

  SoNotorious JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 2,427
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  another reason to mock this government.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,048
  Trophy Points: 280
  Hiyo meli si izame tu... Taifa lenyewe hili lisha zama kwenye dimbwi zito la umasikini wa fikra
   
Loading...