Mwalimu aliwalea wanawe katika maadili na makuzi ya kijamaa zaidi

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Makongoro Nyerere kadhihilisha hilo leo Bungeni. Anajiamini, anapoints, hanyenyekei kuomba kura, anaonyesha msimamo, anakemea na kutoa angalizo, kama mzaha flani anaweka na jokes kidogo. Maadili yale yale kama enzi za Mwalimu! Anaongea Kingereza kizuri, hana Uchu wa hiyo nafasi, karelax na anasema ukweli.. Nyerere kweli aliandaa watoto wake vyema! R.I.P Mwalimu, Vijana unao!
 
Hata mie ningekuwa bungeni hakika ningemchagua makongoro kaonyesha kujua mambo na kujiamini. Hao ndo watu wanao stahili kuchaguliwa.
 
Mimi namfahamu sana Makongoro Nyerere.
Kama watu wangekuwa makini walitakiwa kumwuliza Je Jeshi aliacha mwenyewe au alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu au alistahafu?
 
nafikiri ukweli umedhihirika,yule w.malecela pamoja na cv kubwa aliyoitoa lakini hawezi kumkaribia hata kidogo mzee wa site,makongogoro for presicidency 2015 kwa ccm kama wanataka chama kibaki hai.
 
Hata mie ningekuwa bungeni hakika ningemchagua makongoro kaonyesha kujua mambo na kujiamini. Hao ndo watu wanao stahili kuchaguliwa.

Sure bro! Makongoro anajiamini sana, yupo makini na anamsimamo. Kasema akienda EAC atawakemea na hawata rudia tena!
 
nafikiri ukweli umedhihirika,yule w.malecela pamoja na cv kubwa aliyoitoa lakini hawezi kumkaribia hata kidogo mzee wa site,makongogoro for presicidency 2015 kwa ccm kama wanataka chama kibaki hai.

Makongoro anaweza jamani dah! Le Mutuz Ze Baharia baadae sana!
 
Mimi namfahamu sana Makongoro Nyerere.
Kama watu wangekuwa makini walitakiwa kumwuliza Je Jeshi aliacha mwenyewe au alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu au alistahafu?

Kwani ilikuwaje jombaa? Hilo swali linahusianaje na kugombea EAC? Umepotea sana nowdays!
 
Katika wagombea wote aliyenivutia sana
Kwa upande wa wanaume ni Makongoro na
Kwa upande wa wanawake ni Prof. Nderikinyo
Kama nimesahau jina yule prof wa Maths Mlimani
 
Le mutuz alikuwa na ugonjwa uitwao eyez fever (parliament fever) PV,ambao unapona mara baada ya kutoka ktk usahili
 
Katika wagombea wote aliyenivutia sana
Kwa upande wa wanaume ni Makongoro na
Kwa upande wa wanawake ni Prof. Nderikinyo
Kama nimesahau jina yule prof wa Maths Mlimani

You are right! Lakini hata yule wa mwisho kujieleza anonekana yuko vizuri, anaitwa rweikiza. He is very good. Baharia hamna kitu kabisa afadhari hata mtoto wa mwinyi.
 
]You are right! Lakini hata yule wa mwisho kujieleza anonekana yuko vizuri, anaitwa rweikiza. He is very good. Baharia hamna kitu kabisa afadhari hata mtoto wa mwinyi.[/QUOTE]

Naam hata mimi nakubaliana na wewe kijjan
Mwinyi alikuwa poa sana confident, exposed
Hana pupa katika kujibu na ni msomi mzuri tu
 
makongoro kamaliza, jamaa yuko fiti sana sema mitulinga ndio inamzingua,sijui kama aliacha alakini anafaa kiukweli
 
]You are right! Lakini hata yule wa mwisho kujieleza anonekana yuko vizuri, anaitwa rweikiza. He is very good. Baharia hamna kitu kabisa afadhari hata mtoto wa mwinyi.

Naam hata mimi nakubaliana na wewe kijjan
Mwinyi alikuwa poa sana confident, exposed
Hana pupa katika kujibu na ni msomi mzuri tu[/QUOTE]

Mwinyi huyo ni mtoto wa mzee ruksa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom