Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

katika gazeti la guardian la leo tar 09 nov 2010 mtaalamu wa uchumi mmoja amepigia chapuo sera za chadema za kuwa na serikali ndogo na akatoa takwimu ya jinsi serikali ya jk ya muhula wa kwanza...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Kwa karibu mara tatu sasa ndani ya miezi hii minne tumeshuhudia mchezo fulani ambao kidogo umeanza kukera. Pinda anacheza peke yake na kila akimpatia Rais afunge goli, rais siyo tu hafungi goli...
17 Reactions
93 Replies
7K Views
Wabunge wa Mkoa wa Mara wameandikiwa ujumbe na wapiga kura wao kuwa wasiposaini karatasi ya kuwatosa Mafisadi basi wasijiite Wabunge. Na hawana uhalali wa kurudi Majimboni,hiyo imepelekea...
8 Reactions
58 Replies
7K Views
Akihojiwa na Ch.10 amesema ameshapokea mapendekezo kutoka kwa wananchi mbali mbali na kwa sasa wanafanya mpango wa maandamano ya nchi nzima yatakayoshirikisha vyama vyote vya upinzani ili...
3 Reactions
72 Replies
6K Views
Wakuu, Wakati kamati ya bunge inayohusika na masuala ya nishati na madini ikitoa ripoti yake bungeni nilishtushwa na suala moja ambalo linaniumiza kichwa mpaka sasa,Mwenyekiti wa kamati hiyo...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Kwa jinsi mambo yanavyo enda kombo,ni vyema chama cha mapinduzi kianze kujipanga kuwa chama imara cha upinzani. Ushahidi u wazi,KANU ya kenya ilishindwa kuliona hili mapema na inawagharimu kwa...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa...
2 Reactions
118 Replies
15K Views
Laiti Kikwete na serikali yake ya CCM wangejua yaliyoko MIOYONI MWA WATANZANIA....... Enough is enough... TIIS IS THE TIME WE MUST DO SOMETHING TO LET THE WORLD KNOW THAT WE ARE FED-UP!! M4C...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je umewahi kuisikia hii? Makamba kielimu yuko duni, nasikia tetesi kuwa aliwahi kuwa mwalimu wa UPE, ambako sijui alihusishwa na tukio la ubakaji mtoto wa shule, kisha akadondokea Jeshi , ni...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Heshima mbele sana Great Thinkers:- - Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na...
2 Reactions
85 Replies
6K Views
Baada ya kuhitimisha hotuba ya kuhitimisha bunge wazir mkuu hakupigiwa makofi na wabunge kama ilivyo desturi .tafsiri yake ni nini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Member of Parliament CV GENERAL Salutation...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Ni katika kipind cha jahazi kinachoendelea, take your time to listen them, huenda wana mapya kutokana na movie ya jana ilivyoisha.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kighoma Ali Malima (RIP), enzi za utawala wa Mwinyi, alipobanwa na bunge na wabunge kuhusu misamaha ya kodi kwa waagiza wa bidhaa nje ya nchi alinena yafuatayo; Kwa nini wabunge wa CCM...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
HOTUBA YA UFUNGUZI WA SONGEA GLOBAL NETWORK (SGN) KWENYE UKUMBI WA AGOPAL – SONGEA TAREHE 21/04/2012. Mh. Mwenyekiti, Mh. Katibu Mh.Mhasibu Ndugu Wanamtandao, Ndugu Wageni waalikwa, Mabibi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu,mimi ni mtanzania kama ninyi na moja kati ya watu ambao wanatafuta changes ndani ya taifa letu,vijana wenzangu sisi tupo wengi sana na wengi wetu tunatumiwa kama vibaraka,huu...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Ni full bata jk huku nyie mkilalamika kuwa nchi ina matatizo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Controller and Auditor General has noted improper payment of millions of shillings as sitting allowances to members of Parliament who were not attending House sessions. Source: :: IPPMEDIA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Nawahimiza W.J Malecela na Nape Nnauye wahamiie CHADEMA huko ndiko watapata mawazo ya ukombozi wa kweli, kwani walipo CCM kumeshaoza na hawarekebishiki hata iweje, baba zao kuwa huko sio lazima...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…