Polisi wajikoroga kuhusu kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA Usa River

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari wana jf:
ktk hali ya kustusha juu ya kifo cha mwenyekiti wa CDM usa river-Arumeru east, Kamanda wa polisi amesema kuwa kifo hicho hakihusiani na maswala ya kisiasa.
My take
iweje kamanda wa polisi Arusha atoe tamko juu ya kifo hicho cha kustukiza hata pasipo uchunguzi kukamilika wala kuanzwa, tena iwaje tamko hilo linalotofautiana na maelezo ya ndugu wa marehemu wanaosema kuwa muhusika alikuwa na maadui wa kisiasa walokuwa wakimpinga marehemu kuhusu uwepo wake CDM!!
source: ch10 saa1 jioni leo
 
Kamanda wa Polisi wa Usa River amesema wananchi watulie na kungoja uchunguzi wa polisi. Polisi watahakikisha chanzo cha kifo hicho cha kikatili kinafahamika. Hata hivyo wananchi wasihusianishe kifo hiki na mambo ya siasa. Kifo hiki hakina uhusiano wowote na mambo ya siasa. Source ni taarifa ya habari ya saa 1 Chanel ten

My take: Je kama uchunguzi bado haujakamilika polisi
wanajuaje kuwa kifo hakifusiani na mambo ya siasa?
 
sasa wamewezaje kujua kwamba hakihusiani na siasa wakati hawajakama watuhumiwa na kuwahoji??

Jamani, how far can we go with this type ya majibu mepesi kwa hoja nzito???
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
ndugu wa marehemu amesema alikuwa na maadui wengi kisiasa ila hakuwataja hao maadui ni akina nani
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Ahsante kuu kwa kutumia uhuru wako wa mawazo kama mtamnzania pia na kama mwana jf! Lakini kumbuka kuwa unatakiwa utumie uhuru wako vizuri pia unatkiwa uwe unaangalia na u-serious wa jambo husika kama hili la kifo ambalo kila mtu linaweza kumkuta so inabidi tufike wakati tu-behave kama watu wenye ufahamu na waomi pia hata kama sio msomi basi hekima itawale ktk majibu yako.
Note
"UNATAKIWA UPINGE KWA HOJA NA SIO KWA MANENO"
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

hivi wewe jamaa mufilisi kiasi hiki sikutegemea kama ungeropoka kiasi hiki.
 
Habari wana jf:
ktk hali ya kustusha juu ya kifo cha mwenyekiti wa CDM usa river-Arumeru east, Kamanda wa polisi amesema kuwa kifo hicho hakihusiani na maswala ya kisiasa.
My take
iweje kamanda wa polisi Arusha atoe tamko juu ya kifo hicho cha kustukiza hata pasipo uchunguzi kukamilika wala kuanzwa, tena iwaje tamko hilo linalotofautiana na maelezo ya ndugu wa marehemu wanaosema kuwa muhusika alikuwa na maadui wa kisiasa walokuwa wakimpinga marehemu kuhusu uwepo wake CDM!!
source: ch10 saa1 jioni leo
Hatuana Polisi tuna genge la wahuni tu.. wali wahi kutoa tamko kama hili kwenye issue ya Mwakyembe lakini kwenye issue kama za kina kanumba watasema wanafanya uchunguzi
 
Polisi ina jua walio muua mwenyekiti na Polisi wanajua walio wauwa vijana wanne wa juzi...na kama angekuwa alie uwawa ni mwenyekiti wa CCM wallah vyombo vyote wa habari ingekuwa ndiyo heading.....na watu wengi sana mpaka sasa wange kuwa wamekamatwa hasa watu wa chadema....
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Hata kama hilo ndio sababu basi kamanda wa polisi hana weledi kabisa maana hata sababu hii ni ya kisiasa! Au wewe Kadakabikile reasoning yako inatumia mfumo upi? Nadhani umechallenge tu bila hata kufikiri kwa sababu ni mazoea na ndiyo kazi uliyopewa humu katika jamvi. Nakushauri utumie kidogo hata 0.5% ya ubongo wako!
 
sasa wamewezaje kujua kwamba hakihusiani na siasa wakati hawajakama watuhumiwa na kuwahoji??

Jamani, how far can we go with this type ya majibu mepesi kwa hoja nzito???

....Ndio polisi wetu hao hawajafanya hata chembe ya uchunguzi lakini wanaweza kuhitimisha kwamba mauaji hayo hayahusiani na siasa!!!! Ukiwaambia watoe ushahidi kwamba mauaji hayo hayahusiani na siasa wanaanza kung'aa macho. Mungu tunusuru.
 
Tunahitaji kujua mazingira ya tukio, maana hii habari ni nyeti lakini haijitoshelezi, Wana JF wa Usa river tupeni taarifa kamili ya nini kilichojiri juu ya jambo hili ili tuweze kuchangia hii mada.
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

No doubt wewe ni mmojawapo wa most i*****t person in this country,wenzako wamejenga hoja wewe umeleta porojo!haujachelewa kuelimika lakini,rudi kafute ****** tu na utakua na uwezo wa kujitambua na kujengea hoja kile wenzako wanachojadili
 
Back
Top Bottom