Wizi huu wa mawaziri wetu ulikuwa kwa ajiri ya asante ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi huu wa mawaziri wetu ulikuwa kwa ajiri ya asante ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shungurui, Apr 29, 2012.

 1. shungurui

  shungurui JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2008
  Messages: 1,592
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  wizi ulio fanywa na mawaziri wetu ni jambo la kusikitisha na laibu kwa taifa letu na tena ni aibu kwa raisi aliye wateua.
  lakini kuna mambo ya kujiuliza hapa, kwa nini mawaziri wengi kiasi hiki wamehusika na wizi huu? tena ndani ya kipindi kifupi toka wateuliwe, je ulikuwa ni mkakati wa pamoja kwa lengo furani "asante" au mchango kwa chama au ndio maandalizi ya mbio za urais,vinginevyo kwanini kuna kuwa na uzito kuwafukuza hawa wezi kisha kuwapeleka mahakamani.

  mimi sioni kwama kuna hitaji baraka za chama kumfukuza mwizi. [​IMG]
   
 2. M

  Mkira JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama kumbukumbu zangu zinanituma vizuri ninakumbuka katika hotuba mojawapo kali ya JK alipota urais tu alisema hivi!!

  NINATAKA NITAKAPOONDOKA MADARAKANI 2015 NIWE NIMEZALISHA MABILIONEA WATANZANIA 100.

  NA NDIPO ALIPOANZA ZIARA ZA NJE NA KUNDI KUBWA LA WAFANYABIASHARA WA KITANZANIA.

  LABDA NDIO MAANA MAWAZIRI WAKE WANATAKA WAINGIE KATIKA HIYO REKODI
  MNA HIYO KUMBUKUMBU?
   
Loading...