Jf anzisheni mfuko wa wapigania haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf anzisheni mfuko wa wapigania haki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amkawewe, Apr 29, 2012.

 1. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Katika harakati za kupigania haki na uhuru wa kweli kuna watu wamepoteza uhai au kupata ulemavu, na bado vita vya haki vinaendelea.

  Ninaomba viongozi wa JF kuanzisha harakati za kuchangia mfuko wa wapigania haki bila kujali itikadi. Wote wanaopoteza maisha au kupata ulemavu tuweze kuzisaidia familia zao.

  Waombaji tuongoze maombi ili tupate salama katika kipindi hiki kigumu.

  RIP wale wote waliopoteza maisha, poleni familia zilizoguswa kwa namna mbalimbali.
   
Loading...