CHADEMA siasa ni matumizi ya fursa wakati muafaka!

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Wana CHADEMA mmepatwa na baridi ghafla kutokana na CCM kuja na HOJA MAKINI KWA WANANCHI. Wana mikakati maarufu wa CCM walikaa chini wakati nyie mukibwabwaja na kuja na pendekezo nzuri kupitia CC. Masaa 48 hayajatimia tangu tamko lisomwe na Bw. Nape, kimbunga chake ni HATARI, uongozi wa CHADEMA umeduwaa hawajuwi paa kuanzia hoja yao ya kuendesha maandamano nchi nzima. UPEPO UMEBADILIKA, jahazi la CHADEMA limekosa uelekeo
 
aisee Chadema inakutesa moyo sana kijana.
Najua uko utumwani na huna namna zaidi ya kujivua ufahamu.
Usihofu, tutakukomboa soon,
M4C with no apology.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
...hivi maandamano yangekuwepo kama nini kisingefanyika vile!?
 
Mikakati gani wameweka Magamba wakati kila kukicha wanameguka na kujiunga na CDM? Labda mikakati ya kuua watu
 
Wana CHADEMA mmepatwa na baridi ghafla kutokana na CCM kuja na HOJA MAKINI KWA WANANCHI. Wana mikakati maarufu wa CCM walikaa chini wakati nyie mukibwabwaja na kuja na pendekezo nzuri kupitia CC. Masaa 48 hayajatimia tangu tamko lisomwe na Bw. Nape, kimbunga chake ni HATARI, uongozi wa CHADEMA umeduwaa hawajuwi paa kuanzia hoja yao ya kuendesha maandamano nchi nzima. UPEPO UMEBADILIKA, jahazi la CHADEMA limekosa uelekeo

boss kasema atafanya mabadiliko katika baraza lake, lakini hakusema kama hao mawaziri watachukuliwa hatua gani, hizo hela watazirudisha, watafilisiwa, watashtakiwa au wataachwa wazitumie vizuri hizo hela
 
Boss hana ubavu wa kuwawajibisha - kuna uwezekano mkubwa Boss ndo aliwatuma wafanye madudu; atafanya kiini macho tu kuwahamishia sehemu zingine ili waendelee na dill zao za kuwaibia watanzania. Inaniuma sana
 
Wana CHADEMA mmepatwa na baridi ghafla kutokana na CCM kuja na HOJA MAKINI KWA WANANCHI. Wana mikakati maarufu wa CCM walikaa chini wakati nyie mukibwabwaja na kuja na pendekezo nzuri kupitia CC. Masaa 48 hayajatimia tangu tamko lisomwe na Bw. Nape, kimbunga chake ni HATARI, uongozi wa CHADEMA umeduwaa hawajuwi paa kuanzia hoja yao ya kuendesha maandamano nchi nzima. UPEPO UMEBADILIKA, jahazi la CHADEMA limekosa uelekeo

Sasa ndio nini? Acha ushabiki, kwa kungwi hakuishiwi nyimbo! Muda unayoyoma jamani, machungu yanaongezeka, kwanini tusipite kunakostahili? Tunaogopa nini? Nguvu yetu ni umoja na kuthubutu tu! Mungu wetu anaita! "When the forces of oppression come to maintain themselves in power against the established law, peace is considered arleady broken"
Mungu wetu anaita.
 
Sina hakika kama unayoyasema yanatoka moyoni au yanahusiana moja kwa moja na ukweli unaoufahamu toka moyoni!!!!!!!!
 
kaka hii habari si ya chadema hii ni habari ya wakati .jalibu siku ukikuta watoto wancheza mtaani sema eti wewe ni ccm kama hujaumbuka kwa matusi ko kaka nataka nikuhabalishe kuwa ccm wanatapatapa tu ila wakati ushafika
 
Wana CHADEMA mmepatwa na baridi ghafla kutokana na CCM kuja na HOJA MAKINI KWA WANANCHI. Wana mikakati maarufu wa CCM walikaa chini wakati nyie mukibwabwaja na kuja na pendekezo nzuri kupitia CC. Masaa 48 hayajatimia tangu tamko lisomwe na Bw. Nape, kimbunga chake ni HATARI, uongozi wa CHADEMA umeduwaa hawajuwi paa kuanzia hoja yao ya kuendesha maandamano nchi nzima. UPEPO UMEBADILIKA, jahazi la CHADEMA limekosa uelekeo

hii ni thread ya pili unaanzisha ndani ya siku mbili kwenye jambo hilo moja,jiangalie usije ukaanza kusema ukweli na ukaharibu kazi ya boss wako,kwa vile njia ya mnafiki huwa ni fupi siku zote.Msalimie nape
 
Ushabiki ukizidi ni utumwa!!

BTW, taarifa za CDM ni classified na zinatolewa wakati muafaka na idara muafaka!!

Endeleeni kuwashwa tu!!
 
Back
Top Bottom