Nina wasiwasi na hayo wanayoita mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

ludoking

Senior Member
Oct 5, 2008
124
71
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yanayotegemewa na wengi isiwe kiini macho kama kuhamisha pesa toka mfuko wa kushoto kwenda mfuko wa kulia. Hatutarajii sura zile zile kuhamishiwa wizara tofauti. Tunataka sura mpya zenye uzalendo na zisizo na kashfa. Na wale wote waliokumbwa na kashfa za ubadhilifu, isiishie tu kutolewa kwenye nyadhifa zao....wafirisiwe
 
Back
Top Bottom