CCM na takwimu tata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na takwimu tata

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Apr 28, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,271
  Trophy Points: 280
  ccm ccm hawa hawaaminiki hivi toka mwaka 1995 wao wanadai wana wanachama 5milion wana mahesabu watujuze hakuna ongozeko wala kupungua. ina maana hiki chama kimekuwa kama volkano iliyokufa, tunaomba watupe hesabu ya kweli isije ikawa wanahesabu kadi za watu waliokufa. kuna haja watu wa sensa waweke kipengele cha kuhesabu wanachama wa vyama vya siasa kwani tungejua mbivu na mbichi.
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Nalo jambo la msingi hlo.
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  N vile vile CDM inatakiwa itoe takwimu zake mpya za wanacham walionao ili kujua mapema kama kitaeleweka.
  Takwimu za CCM achana nazo.
   
 4. P

  Papa1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 1,285
  Likes Received: 686
  Trophy Points: 280
  Wanachama wa ccm nikama wakaazi wa Vatican. wako 1000, akifa au kuhama mmoja anasajiliwa mwingine!
   
 5. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Inawezekana kweli wana wanachama idadi hiyo. Lakini kuwa na wanachama wengi haimaanishi ushindi. Ktk siasa za uliberali, Wananchi wengi huwa si wanachama wa vyama vya siasa, wao huwa wanaangalia maslaha ya maisha yao. Ukifanya utafiti wa juu juu, utabaini kuwa Cdm ina wafuasi wengi mijini, ktk kada za wasomi na watumishi wa ngazi za chini na kada za kati. Lakini ukiwauliza wafuasi hao kama wana kadi/ni wanachama wa cdm, watakuambia hawana kadi hivyo si wanachama. Kwa msingi huo, CCM inajifariji (kwa kuwa bado imesimama ktk mfumo wa kizamani wa siasa), Vanguardism. CCM imesahau kuwa watu hawajali wao ni itikadi gani, wanaangalia nani anatetea maslaha yao? Ukienda karibu nchi zote za ulaya na hata Israel, utakuta chama kina wanachama 3,000 ila kinaongoza nchi. Nimalizie kwa mfano rahisi. Hapa kwetu Tanzania klabu za simba/yanga zina wapenzi mamilioni ya watu lakini idadi ya wanachama wao ni kidogo sana. USITISHWE NA TAKWIMU Hata kama utaambia wana wanachama milioni 45. Kura haihusiani na uanachama
   
 6. gollocko

  gollocko JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 2,830
  Likes Received: 1,544
  Trophy Points: 280
  Hizo takwimu hutumika kujihalalishia wizi wa kura na wala si za kweli
   
 7. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Hao ni wanachama wa kwemye mafaili, hata mimi nimo humo! Manaake zamani kila mtu alitakiwa kama anataka kusoma laazima uwe na kadi ya CCM, si mnakumbuka ile habari ya chama kushika hatamu! Hao 5m nadhani kwa sasa wamebaki less than a Milion
   
 8. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu Takwimu kwasasa na siasa ya Tanzania havimati sana coz hao ambao wanasemekana kuwa ni wanachama wapo kikadi na ushabiki ila kura kwa CDM.Takwimu Alizo nazo Nape pale Lumumba 1977-2012 wanawachama 6mil chakushangaza kikwete kura za kikwete zilikuwa 5mil.wapi hiyo 1mil?

  Mytake: Ukuaji wa CCM hauendi na ongezeko la watu!
   
 9. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkuu na hizo kura 5 milioni ni pamoja na kumchakachua raisi wetu aliye moyoni. Takwimu za magamba zina magamba, alie zitoa nae ni gamba.
   
 10. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  [h=1]Hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, katika Sherehe za Kutimiza Miaka 34 ya Kuzaliwa kwa CCM Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Tarehe 05 Februari, 2011[/h] [FONT=&quot]


  CCM Oyee![/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Kidumu Chama Cha Mapinduzi![/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot][​IMG][/FONT]
  [FONT=&quot]Ni ukweli ulio wazi, tena wa kujivunia, kwamba katika miaka 34 ya uhai wake, Chama chetu kimepata mafanikio makubwa. Kimeendela kukua na kimezidi kuimarika kwa kila hali. Wanachama wameongezeka sana na kufikia takriban milioni 5.7. Wanachama wake ni watu wenye umoja, mshikamano na ushirikiano wa hali ya juu pamoja na kuwepo kwa changamoto za hapa na pale kwa nyakati fulani fulani. [/FONT]

  Source: CCM website
   
 11. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Does it help or Change anything?hizi data za mwenyekiti wako zinatofauti gani na uchumi unaopaaaa?by 7.5%
  [/FONT]
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  naamini kabisa wanacha wa ccm ni zaidi ya milioni kumi, ukichukulia mfano tu wa mikao ifuatayo ambayo wananchi wa mikoa husika zaidi ya.silimia tisini ni wanachama wa cmm: tabora, tanga, pwani, singida, dodoma, mtwara, lindi, songea, iringa , unguja, bukoba na hata rukwa
   
 13. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sera nzuri za CCM zinazojali wakulima kupitia KILIMO KWANZA inavutia wapiga kura. Nyie kuvunja amani manakimbiwa na wapiga kura walio makini
   
 14. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  90% ya watz ni wanavijiji, huko vijijini 80% ni CCM, 20% vyama vya upinzania. Mijini 50% ni CCM na 50% vyama vya upinzani. HIVYO wananchama CCM jumla inafikia milioni 11, laki 3, na elfu 51 tu.
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  brain concussion
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  brain concussion
   
 17. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Makupa unashindwa kuelewa kitu simple kabisa, hivi uchaguzi wa igunga ulikuwaje? yaani ilikuwa then siyo sasa, hiyo mikoa uliyoitaja imeishakuwa ngome ya upinzani kwa sasa, Ruvuma upinzani ulikuwa haupo si umesikia matokeo ya udiwani au inabidi ukae na data za mwaka 47! Fanya utafiti kidogo utagundua nasema nini, au haouko bongo?
   
 18. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Manaake ukisema tabora ni 90% na uchaguzi wa igunga ulukuwa almost 52%, sijui unachukua data zipi?
   
 19. m

  mkurugenz JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  watapata takwimu sahihi wakiwa wapinzani,kwa sasa wanashughulikia wizi.
   
Loading...