Huu ndio uwizi unaofanywa na ma afisa wa tra mkoa wa rukwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndio uwizi unaofanywa na ma afisa wa tra mkoa wa rukwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chipalila1, Apr 29, 2012.

 1. c

  chipalila1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  TRA RIST.jpg Hizi ndo rist zinazo tolewa na hawa jamaa wa tra pale mtu anapo kamatwa na pkpk, gar, duka n.k. Na akajtetea kuwa hana hela kamili kama wanavyo htaj basi hudaiwa operation charge ambayo wao wanadai n tsh 35000, but hata ukiwa na sh elfu 20 rist wanatoa . Utata unakuja kwene hyo rist wanayotoa, n kama inavyo onekana kwene picha. Kwana wanao elewa zaid watudadavulie hl
   
Loading...