Cwt ni genge lingine la mafisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cwt ni genge lingine la mafisadi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MARUMARU, May 1, 2012.

 1. MARUMARU

  MARUMARU JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Chama cha Waalimu Tanzania kiliundwa kwa malengo mazuri ya kutetea haki za waalimu ila kwa sasa CWT kimejikita zaidi kukusanya michango kutoka kwa waalimu na kuzitumia kulipana posho, mishahara, na kuekeza kwenye miradi iziyo na tija kwa waalimu na kusahau jukumu la kuwatetea. Kwa mfano waalimu wa ajira 2012 wamenyanyazwa sana tangu wajiunge na utumishi serikalini, mfano wengi walichelewa kupewa hela za kujikimu, hadi sasa wengi hawajaingia kwenye payrol, mfano hai waalimu Singida Vijiji mpaka jana walikuwa hawajalipwa mishahara yao tena bila sababu yoyote.Nakumbuka madaktrari walio kuwa kwenye mazoezi waliponyanyazwa na serikali chama cha madaktari kiliwajibika haraka JE KUNA UMUHIMU WA HIKI CHAMA CHA WAALIMU KUENDELEA KUWEPO? Ushauri wangu waalimu na wadau washinikize kuvunjwa kwa chama hiki wajipange upya kwani kwa sasa hawana mwelekeo.
   
Loading...