Report ya cag na serikali za mitaa - vipi utendaji wa halmashauri zinazoongozwa na upinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Report ya cag na serikali za mitaa - vipi utendaji wa halmashauri zinazoongozwa na upinzani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkulima, May 1, 2012.

 1. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Imeonekana serikali za mitaa nyingi zina matatizo makubwa kwenye masuala ya ufujaji wa pesa. Pesa nyingi sana zinaibiwa kwenye halmashauri hizo.

  Katika uchaguzi wa mwaka 2010 upinzani ulifanikiwa kuchukua uongozi kwenye baadhi ya serikali za mitaa, je hizi serikali za mitaa zinazoongozwa na upinzani, utendaji wao uko tofauti ukilinganisha na zile zinazoongozwa na CCM?


  Naomba wenye data tusaidiane kuzichambua hizi halmashauri. Je mpaka sasa ni halmashauri ngapi kwa Tanzania bara zinaongozwa na upinzani? Na je utendaji wao ukoje kama ulivyoainishwa na CAG?
   
Loading...