JK na Mgaya sasa damu damu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na Mgaya sasa damu damu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Apr 30, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,288
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Baada ya kutupiana vijembe mwaka juzi, hatimaye Mgaya na JK sasa wamekuwa maswahiba kama picha hii inavyothibitisha. nani mshindi? Wafanyakazi (Mgaya) ama serikali (JK)???

  Mgaya.JPG
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mgaya anaganga njaa..
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mgaya anaganga njaa..mbona wamevaa gwanda?
   
 4. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ngoja niitafute ile ya Mbowe na JK halafu tudiskasi
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,303
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Spies know each other...ukiona Mosad walivyomuua yule jamaa wa Hamasi Dubai, last year, utagundua there is only one common thing among the spies...they are all controversial
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hata Mbowe na JK wamekuwa maswahiba kama picha hii inavyothibitisha hebu icheki!
   

  Attached Files:

 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,369
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Picha zote hizo ... shows nothing to do with uswahiba!!
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,303
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Sio vizuri kuamini kila unachokiona. Wengine ni usanii tu.
   
 9. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,849
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  CDM hawana kumbukumbu ya kumkimbia JK, Bungeni na kumfuata Ikulu
   
 10. M

  Mzeenani64 Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sasa damu damu kwa sababu ya tabasamu alilolionyesha au..!?usipende kuhusemea moyo wa mtu,
   
 11. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kukurupuka mbaya. . Ulitaka wasisalimiane?
   
 12. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,731
  Likes Received: 1,154
  Trophy Points: 280
  viongozi wa Tucta waache unafiki kila siku mishahara midogo,kodi ipunguzwe hakuna linalofanyika wakati ripoti ya cag ikionyesha jinsi mafao ya wafanyakazi yanavyoliwa hatujasikia kauli yoyote wajifunze kwa wenzao wa africa kusini namna gani wanavyowakilisha wafanyakazi
   
 13. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,253
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Waacheni wafu wawazike wafu wao. Maana kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote wawili wataishia shimoni.
   
 14. m

  manucho JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Achana na picha, Mgaya anasumbuliwa na njaa kuu lastime walimu walipewa hongo kwa kuwekewa hela kwenye account zao za bank hela ambayo haikuwa na maelezo kwamba ni ya nini na Mgaya akakaa kimya
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Acha Ushankupe Jadili mada iliyopo mezani...kama unataka kuleta ya kwako fungua thread mpya usiharibu thread za watu
   
 16. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna kila dalili kuwa Mgaya kasunda kitu kidogo
   
 17. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,726
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mgaya naye anaganga njaa tu huyo, baada ya kurupushani ndefu akatulizwa! Kwa sasa yuko kimyaaaa!
   
 18. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,179
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Njaa acha iitwe njaa
  huyu jamaa yale matamko
  yake yalishia wapi vile???
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hakuna mnafiki mkubwa kama MGAYA na TUCTA yake!
   
 20. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,232
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  huyu mgaya aliambiwa na jk za kuambiwa changanya na zako.kumbuka hata kwenye mgomo wa madaktari huyu mgaya alikua upanda wa serikali..
   
Loading...