IGP Mwema, intelijensia yako ni kwa maandamano tu?

sammosses

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,682
1,110
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi letu la Polisi kila mara linapotoa tahadhari kwa wananchi kutokana na interejensia yao waliyoifanya kwa kina uhusishwa na kudai haki kwa njia ya maandamano.Lakini haijawahi tokea interejensia yake ikatoa taarifa ya mauaji ya makumi ya wananchi wanao uwawa wakati wa chaguzi ndogo.Je kwa interejensi hii ya bwana Mwema kuna haja ya kuwa jeshi la Polisi kama hili?
 
kwa kweli mkuu, hakuna haja ya kuwa na jeshi hili la polisi ya Tanzania yenye kulinda maslahi ya upande mmoja?ni ajabu sana,,
 
Intelejensia yake ni kuakikisha biashara ya madawa ya kulevya anayofanya Riz inaenda smooth with no interruption(s).
 
Yuko pale kwa ajili kulinda maslahi ya mashemeji tu!!!wakimaliza muda wao watarudi kupumzika wale walivyochuma ambalo jasho la walalahoi!!intelijensia inaishia maandamano ya chadema!!
 
Maandamano ni sumu kwa tawala mbovu
ebu ona walivyoua raia ktk maandamano ya Songea
 
Polisi ni kama ilivyo UWT au UVCCM kwa CCM, inafanya kazi kama taasisi ndani ya CCM. Wao twaweza kuwaita PoCCM au PCCM. Intelijensia yao inafanya kazi kwenye maandamano CDM pekee.
 
Polisi ni kama ilivyo UWT au UVCCM kwa CCM, inafanya kazi kama taasisi ndani ya CCM. Wao twaweza kuwaita PoCCM au PCCM. Intelijensia yao inafanya kazi kwenye maandamano CDM pekee.

Umenena mkuu. Ni matawi ndani ya ccm. Hawana haya wanapoua au kuumiza raia wanaodai haki zao huku wao Polisi wakishirikiana na wahalifu wakila rangi ktk kuihujumu nchi hii
 
ikifika ishu ya ujambazi utasikia tutumie dhana ya polisi jamii.lakini maandamano ya chadema utasikia inteligensia
 
kuna watu wakitajwa siku hizi, nahisi kichefuchefu.

1. IGP MWEMA
2. DPP FELESH
3. DCI KANUMBA
4. DCP CHAGONJA, MTWEVE na wapuuzi wengine
5. EDWARD HOSEA
6. JEN. MWAMUNYANGE
7. BR. JEN. SHIMBO

Ni baadhi ya watu wanao nikera sana, sitaki hata kuwasikia.
 
Ccm wana jumuia nyingi sana, ukianza na UWT, UVCCM, WAZAZI, NEC, POLICE, CUF, TISS, JWTZ, TISS, MAHAKAMA, WIZARA, IDARA, VYUO VIKUU VYA UMMA NK.
 
nikiona polisi 2 huwa naona rushes !
Nikiona polisi 2 naona vibaraka WA magamba!
Nikiona polisi naona wezi na majambazi!
Yaaan full kichefuchefu
 
Ccm wana jumuia nyingi sana, ukianza na UWT, UVCCM, WAZAZI, NEC, POLICE, CUF, TISS, JWTZ, TISS, MAHAKAMA, WIZARA, IDARA, VYUO VIKUU VYA UMMA NK.

.... ongeza na WANAJIMU na BAKWATA. Hizi ni jumuia muhimu sana kwa CCM.
 
Ccm wana jumuia nyingi sana, ukianza na UWT, UVCCM, WAZAZI, NEC, POLICE, CUF, TISS, JWTZ, TISS, MAHAKAMA, WIZARA, IDARA, VYUO VIKUU VYA UMMA NK.

umesahau kitengo cha TBCCCM mkuu,MWEMA NI MCHUMIA TUMBO.
 
kuna watu wakitajwa siku hizi, nahisi kichefuchefu.

1. IGP MWEMA
2. DPP FELESH
3. DCI KANUMBA
4. DCP CHAGONJA, MTWEVE na wapuuzi wengine
5. EDWARD HOSEA
6. JEN. MWAMUNYANGE
7. BR. JEN. SHIMBO

Ni baadhi ya watu wanao nikera sana, sitaki hata kuwasikia.

tembelea South afrika,kwa Alshabab au kule kwa boko haram utajua kwa nini hao ulowataja wanakutia kichefchef!
 
Back
Top Bottom