Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,859
- 1,301
Kwa kuwa katiba ilikuwa ikimpa mwananchi haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila masharti ya kuwa kwenye vyama vya siiasa; bunge lilikaa na kufuta haki hiyo!
katiba inampa mwanachi haki ya kujumuika na wenzake; lakini tumeshuhudia haki hiyo ikifutwa na serikali kwa kuiwekea sheria nyingine.
Katiba inampatia mwananchi haki ya kupata dhamana (kwani mtuhumiwa hana hatia hadi ithibitishwe vinginevyo), lakini juzi tumesikia kauli ya majaji kuwa mahakama inao uwezo wa kukataa kutoa dhamana kwa mfano wa kesi ya LEMA.
Kwa mtiririko huo basi ni kwamba kila chombo cha dola (Serikali, Bunge, na Mahakama) kina uwezo wa kuondoa haki za watanzania; kwa mantiki hayo basi ni wapi Mtz apate haki zake?