Vigogo tisa wa CCM kuhamia CHADEMA baada ya Mei Mosi

Tulianza na Mungu, tuko na Mungu na tutawamaliza na Mungu! M4C 4 LIFE..!
 
Wanachama tisa wa CCM aka Magamba wenye hadhi ya Udiwani kutoka maeneo ya Longido na Ngorongoro watahamia kwenye jeshi la ukombozi CDM kesho lakini kuwekwa hadharani keshokutwa kupisha..Gamba linazidi kufa huku.
Source:Kamanda Lema
Lema kesha sema CCM watajuta kwa nini wampa likizo ya bure, ATAWABOMOA SANA, JAMAA HATARI SANAA!
 
Lema namkubali sana hafanyi kazi kwa kubahatisha,anafanya kazi ipasavyo kabisa,hongera sana kijana Lema
 
Duu!! Kazi nzuri mh. Lema.
'madiwani wanaoama ccm wamepoteze mvuto kwa wananchi' by Nepi.
Sasa kwa mwendo huu, kila sehemu ccm imepoteza mvuto.
 
Tena hawa madiwani ni wazuri zaidi sababu wanakuwa wanadili na wananchi direct na wana ushawishi mkubwa so hongera sana kamanda LEMA! tupo nyuma yako ktk kuibomoa CCM
 
Ulifikiri dhana ya kujivua gamba ina maana ipi? magamba yaliyokauka yanapukutika yenyewe na tunabaki na ngozi safi na nyororo.
 
ccm wasipokua makini arusha nzima itakua cdm isipokua tu monduli ile ni ngumu cdm kuchukua
Amini usiamiani watu wa Monduli wamefunguka na sasa wanahitaji ukombozi kwa speed kubwa na ndiyo maana wafuasi maarufu ya mhe.EL wameamua kutimua mbio. Ni kwamba EL ameona ccm inaelekea kukata roho na yeye kupoteza dira ya kugombea urais 2015. Fanya tafiti ndogo nenda hata monduli vijiji huko ukiwa na sare ya ccm utaona hata mtoto mdogo atakuzomea na kuweka vidole 2 juu kuashiria kuwa wamefunguka.tahadhari: hiyo sare usiingie nayo A-town watakupiga mawe.
 
Tunaomba hiyo itokee kweli. Itasaidia kuinua morari kwa maeneo mengine ambayo bado yanasuasua kufanya maamuzi.
 
Na_welcom back baada ya ban nliyosababishiwa na makinda kuhusu hoja ya zitto,,nlipotoka molemo anawapa hi.HONGERA ONLY ONE KAMANDA LEMA.
 
Na_welcom back baada ya ban nliyosababishiwa na makinda kuhusu hoja ya zitto,,nlipotoka molemo anawapa hi.HONGERA ONLY ONE KAMANDA LEMA.

Tunashukuru kwa salamu ya Molemo.Tutampokea kwa maandamano atakapotoka jela.
 
Back
Top Bottom