LUSINDE jina lake kutajwa katika baraza jipya la mawaziri

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Sasa hii kali Hatimaye Mheshimiwa Lucy Inde(lusinde) atajwa kuwa miongoni mwa mawaziri wapya watakalo suka hilo baraza jipya, vyanzo vyangu vya habari inasema Kibajaji amepewa hiyo nafasi ili kumfuta machozi baada ya kushiriki vizuri katika kampeni za Arumeru Mashariki wakati akimnada mgompea wa CCM, SIOI SUMARI....Je anaweza akafit katika wizara gani maana source yangu haikuweka bayana wizara....
Nawasilisha hojaa..
Source MIMII.
 
Wizara wa Mavi and Ushuzi katiaka Jamii! Ingemfaa sana huyu kandidate maana Phsychiatric ward pale Muhimbili bado haina wizara!
 
Join Date : 23rd April 2012
Posts : 20
Rep Power : 306
Likes Received1
Likes Given0
matatizo ya wageni humu jamvini anapost anachoota usiku
hili sio jukwaa la utani ndugu yangu,kuwa serious
 
habari ni habari waweza kuwa ni ukweli kwani hawa magamba wamechanganyikiwa ...............................oyoooooooooooooo hatimae 2nakaribia kupata mawaziri vichaaa
 
Nyie Mods kama mmeshindwa kazi ya ku-moderate mseme..kazi yenu sio kutoa ban tu..hili jukumu la kuzuia utumbo kama huu usitamalaki kwenye jukwaa la siasa ni lenu pia. kama mmeshindwa kazi semeni tumo-derate wenyewe!!
 
Sasa hii kali Hatimaye Mheshimiwa Lucy Inde(lusinde) atajwa kuwa miongoni mwa mawaziri wapya watakalo suka hilo baraza jipya, vyanzo vyangu vya habari inasema Kibajaji amepewa hiyo nafasi ili kumfuta machozi baada ya kushiriki vizuri katika kampeni za Arumeru Mashariki wakati akimnada mgompea wa CCM, SIOI SUMARI....Je anaweza akafit katika wizara gani maana source yangu haikuweka bayana wizara....
Nawasilisha hojaa..
Source MIMII.

We mpuuzi kama huna la maana ni bora usiandike kitu hapa, huu upuuzi hatuutaki tuuone tena hapa.
 
Wewe mtoa Uzi unatafutia watu ban utumbo Kama huu peleka kwenye jukwaa la jokes Jana tuu kamanda Molemo kala ban
 
Nyie Mods kama mmeshindwa kazi ya ku-moderate mseme..kazi yenu sio kutoa ban tu..hili jukumu la kuzuia utumbo kama huu usitamalaki kwenye jukwaa la siasa ni lenu pia. kama mmeshindwa kazi semeni tumo-derate wenyewe!!

Wakuu, mbona mnamshambulia?
Haya aliyoyaandika ni kwa mujibu wa vyanzo vyake vya habari. Kwa hiyo ni juu yetu kukubali au kukataa. Lakini kwa Tz any impossible thing can happen!

Anafaa nafsi ya waziri mkuu as even mwenye jimbo lake mzee tingatinga alikuwa PM!
 
Sasa hii kali Hatimaye Mheshimiwa Lucy Inde(lusinde) atajwa kuwa miongoni mwa mawaziri wapya watakalo suka hilo baraza jipya, vyanzo vyangu vya habari inasema Kibajaji amepewa hiyo nafasi ili kumfuta machozi baada ya kushiriki vizuri katika kampeni za Arumeru Mashariki wakati akimnada mgompea wa CCM, SIOI SUMARI....Je anaweza akafit katika wizara gani maana source yangu haikuweka bayana wizara....
Nawasilisha hojaa..
Source MIMII.

kibajaji huyu ataongoza nani katika nchi hii ya werevu? Unajua kiwango chake cha elimu? Tafuta historia yake!
 
Back
Top Bottom