MAPOVU TOKA CCM; Mgeja ataka Sabodo avuliwe uanachama

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765

Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.
 
mkuki wa nguruwe, nyie chadema mnasikika kila siku shibuda avulie uanachama kwa sababu ya ukaribu na wabunge wa ccm. nae sabodo hana msaada ccm inabidi tumpotezee
 
mgeja ndo nani mbona hata hajulikani kwani ni dhambi kwa muislam kumsaidia mkristo? and the opposite

sasa awasaidie ccm au awape pesa zake wazitafune kama wanavyozitafuna za halimashauri
 
Itasaidia nini mkimfukuza?. si ataenda Chadema kuchukua kadi ya ukweli. Sasa hivi mwili wake CCM, Lakini moyo wake upo CHADEMA.
 
Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.

.
Huyo mngeja mbona pamoja na kufuatilia siasa za nchi hatumjui? Ni mtu anaeishi nchini kweli?
.
 
Huyu Mgeja ni jipu CCM hata amewafanya wakose majimbo ya Maswa na Bariadi. Hili jamaa halifai hadi linaingilia watendaji Shy
 
Mbona Mgeja alishapoteza dira hapaswi hata kunukuliwa na chombo makini kama hiki!
 
Hivi CCM bado wana ubavu wa kutishia kumfukuza mtu uanachama? Nakumbuka walivyonywea kwa Kigwangala wakati wa mgomo wa madakktari. CCM wanamhitaji Sabodo zaidi kuliko yeye anavyowahitaji.
 
Who is Mgeja? Ni yule Hamisi Mwenyekiti wa CCM - Shinyanga na kuwadi wa mafisadi? Huyo kweli bado anaota ndoto za "Chama kushika hatamu".

Badala ya kuwashauri wafukuze mafisadi waliojaa kila idara ndani ya CCM na serikali yake anahangaika na Mzee Sabodo anayetumia jasho lake la halali jinsi apendavyo tena kwa faida ya taifa? Naomba wamfukuze (Sabodo) hata kesho waone jinsi watakavyozidi kupukutika.
 
Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.

Huyu Mgeja kilaza, STD IV ya zamani, hana jipya.
 
huyu nae bendera fuata upepo..alikua wapi siku zote hasapoti cdm kashaanza kuona ccm inakufa ka switch sides...ila mhindi huyu ana hela, mara unasikia kachangia mil 100 hapa mil200 pale dah:shock:
 
Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.

Mgenja sabodo siyo size yako wewe size yako ni Lembeli!

Mytake:Sidhani kama kwenye katiba ya CCM imekataza wanachama kusaidi chama kingine!
 
Hivi huyu mgeja mbona yy ni kilaza sana, kwanza hana hadhi ya kutoa tamko kama hilo na asubilie tsunami ya M4C under prophet lema ndio ataona kazi jinsi ilivyo.
MUNGU WA ISRAEL AWASAMEHE VILAZA KAM MGEJA AMBAO WANAFIKIRIA KWA KUTUMIA NYUSI ZA MACHO NA SIO UBONGO. Amen
 
Mgenja sabodo siyo size yako wewe size yako ni Lembeli!

Mytake:Sidhani kama kwenye katiba ya CCM imekataza wanachama kusaidi chama kingine!

Hata Mh. Lembeli sio size yake. Labda Maige.
 
Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.

Kwa hiyo usaliti ni kuisadia CDM? Hana hoja na hata wenzake watakuwa wanajua kuwa anatafuta pa kutokea baada ya kupotea katika katika ulimwengu wa kisiasa kwa kuendekeza unafiki.
 
Back
Top Bottom