Arusha hata akisimama mwanaasha kwa kofia ya chadema atashinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha hata akisimama mwanaasha kwa kofia ya chadema atashinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by massai, May 1, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwa jinsi watanzania hasa wananchi wa Arusha walivyoikinai serekali legelege iliyopo madarakani hapa hata aje mtu kilaza kiasi gani atapata ubunge ,sharti moja tu asimame kwa kiti cha CHADEMA,wewe weka hata mdogo wetu mwanaasha watu watampa kwa kura za ajabu.nimekua Arusha kikazi kwa muda tofauti alakini kila ninae kutana nae anakwambia magamba ni mufilisi na haina nafasi tena.kweli magamba kazi wanayo Arusha.
   
Loading...