IRAN SUPPORTS Zanzibar SECESSION? NI kweli au uongo?

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
Zipo tuhuma nyingi zinasema Iran ndio wanaosapoti kundi la wana uamsho wa zanzibar kujitenga na Tanzania bara.....kipindi cha nyuma pia minongóno ilishawai tokea kuwa Iran inashirikiana na Tanzania kupitisha uranium toka Congo through Dar port kwenda kutengeneza nuclear Kule iran (wikileaks)....Hivi ukweli ni upi? kama kweli, Tanzania tunampango gani, kuanza kushirikiana na maadui wa Iran haraka iwezekanavyo kama reprisal au tutawaacha hawa wairan watuvuruge na muungano wetu? mwenye news please!
 
wacha wajitenge bhana mi binafsi sioni cha maana ambacho tunawang'ang'ania
 
Wairan wamekuwa na harakati chafu ndani ya Tz kwa muda mrefu. Miaka ya 1988(?) na kuendelea walidhamini na kusambaza vipeperushi 'vichafu' kwa baadhi ya shule za sekondari nchini. Wamekuwa wakidhamini harakati mbalimbali nchini. Ila kwa hili la zenji kama ni kweli, Iran wangeshauriwa waongeze bidii! Nadhani hata wakijitenga Tanganyika tutakuwa na uwezo mzuri zaidi wa kujilinda kama Iran itatuletea za kuleta.
 
Wairan wamekuwa na harakati chafu ndani ya Tz kwa muda mrefu. Miaka ya 1988(?) na kuendelea walidhamini na kusambaza vipeperushi 'vichafu' kwa baadhi ya shule za sekondari nchini. Wamekuwa wakidhamini harakati mbalimbali nchini. Ila kwa hili la zenji kama ni kweli, Iran wangeshauriwa waongeze bidii! Nadhani hata wakijitenga
Tanganyika tutakuwa na uwezo mzuri zaidi wa kujilinda kama Iran itatuletea za kuleta.

Unaongea bila ushahidi wowote wa maana na hii si sifa ya watu makini. Hapo penye bluu inaonekana hujui unachokinena na umeshindwa kulinganisha uwezo wa Iran na Tanzania kijeshi. Hivi wewe na taifa lako hili ambalo bado liko kwenye nishati ya mkaa wa kuni mnaweza kulivimbia taifa lililoko kwenye teknolojia ya nyuklia? Kama si akili za wehu kujipa matumaini!
 
Nakumbuka umeme Zanzibar ulipokatika kwa miezi mitatu, Irani ilisema iko tayari kupeleka umeme Zanzibar. Na walisema kuwa wataleta meli yao kubwa ambayo itatengeneza umeme na kuwapeleka Zanzibar tena kwa bei nafuu
 
Dawa yake hapa basi watz tunatakiwa kuungana na Marekani na Israel dhidi ya iran, kwasababu hawa jamaa wnaatuchokoza. usijejua pengine wanataka zenji ije kuwa strategic area yao kwa defence, labda waweke ka military base pale kwaajili ya kujilinda na maadui zao ukanda huu wa pwani ya bahari ya hindi....kwanini wanataka zenji iwe hivyo? hata hivyo, wazenji wengi si wasuni? au washia kama wairan? NAICHUKIA IRAN KWA KWELI.
 
au hii ni njia moja wapo kumchokoza Obama na marekani yake, kufanya zenji ijitenge ili iungane na wale wanaojitenga mombasa...hapo watakuwa wamechokoza kenya na tz ambako ndo kuna interest za marekani sana...
 
Dawa yake hapa basi watz tunatakiwa kuungana na Marekani na Israel dhidi ya iran, kwasababu hawa jamaa wnaatuchokoza. usijejua pengine wanataka zenji ije kuwa strategic area yao kwa defence, labda waweke ka military base pale kwaajili ya kujilinda na maadui zao ukanda huu wa pwani ya bahari ya hindi....kwanini wanataka zenji iwe hivyo? hata hivyo, wazenji wengi si wasuni? au washia kama wairan? NAICHUKIA IRAN KWA KWELI.
Uko sahihi. Hawa jama siku zote wanataka kueneza islamic influence ndiyo maana uamsho wanatumia masheikh. Hawa jamaa haijui Tanzania kwa masuala ya underground movements. Nchi hii ilishang'oa maharamia wa kila aina karibu kona zote za Afrika kusini mwa jangwa la sahara. Kama ni kweli itabidi tuwasapoti US na Israel lakini tuanze kuwaondoa hawa wa ndani kwa namna yoyote iwezekanavyo ilimradi Tanzania inadumu.
 
Dawa yake hapa basi watz tunatakiwa kuungana na Marekani na Israel dhidi ya iran, kwasababu hawa jamaa wnaatuchokoza. usijejua pengine wanataka zenji ije kuwa strategic area yao kwa defence, labda waweke ka military base pale kwaajili ya kujilinda na maadui zao ukanda huu wa pwani ya bahari ya hindi....kwanini wanataka zenji iwe hivyo? hata hivyo, wazenji wengi si wasuni? au washia kama wairan? NAICHUKIA IRAN KWA KWELI.

Na mimi nakuchukia kwa kweli.
 
Itakuwa bahati mbaya sana kama Iran ikifanya hivyo. Itakuwa imefanya makosa ambayo watakuja kuyajutia baadae. Influence yao kwenye sehemu kama hizi ni lazima iwe balanced.Agenda yake ya kuchagua side will come at a cost
 
Zanzibar case can never be called secession as Zanzibar and Tanganyika are two different countries who are united.
 
mimi kama iran wanawapa support zenji si mbaya-nataka wafanikiwe mapema iwezekanavyo-najua as tupo karibu na zenji-wabaya wa Iran watakuja upande wetu bila hata sisi kuwaita-
 
Zanzibar case can never be called secession as Zanzibar and Tanganyika are two different countries who are united.

Kuna vitu vingine sio vya kushabikia maana athari zake ni kubwa kuliko unavyofikiri.
 
mimi kama iran wanawapa support zenji si mbaya-nataka wafanikiwe mapema iwezekanavyo-najua as tupo karibu na zenji-wabaya wa Iran watakuja upande wetu bila hata sisi kuwaita-

Ndugu yangu, nchi itakuwa uwanja wa vita (moto au baridi); kumbuka fahari wawili wakigomba, ziumiazo nyasi... no peace anymore!!!!!!
 
It doesn't matter. Everyone (every nation) has the right to express their opinion/preferences regarding the matter.
Let THE PEOPLE OF ZANZIBAR decide their fate - whether one side is sponsored by Iran or USA it's none of your business.
 
Zanzibar case can never be called secession as Zanzibar and Tanganyika are two different countries who are united.
Which Tanganyika are you talking? Who is her president? Where is her cabinet?
Are you sure you are sane?
 
i once heard it is Oman but , hii thread inanipa picha kamili ya kuhusika kwa Iran...i hate this guy so called Jusa..he is s devil indeed..
 
Mtasema meeengi sana wadanganyika,

issue iliyopo ni kuwa wazanzibar hawautaki muungano, sasa tatizo lipo wapi?

mnaanza propaganda chafu naona! hivi mnaikili kwa gharama gani mtaweza kuulinda huu muungano? na ni kwa gharama

ya nani?

Suluhisho hapa ni kuweka urais wa zamu tu kama mking'ang'ania huu muungano.
 
Kuna vitu vingine sio vya kushabikia maana athari zake ni kubwa kuliko unavyofikiri.

Athari zipi? Mimi naona Zanzibar imeathirika zaidi baada ya kujiunga na Tanganyika. Tazama kabla na sasa ndio utajuwa kama muungano au bila muungano ndio wenye athari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom