Msaada: Makangira Namanga Msasani.

Dec 5, 2011
78
93
Naombeni msaada Kwa mtu anayeelewa vizuri plan ya serikali kuhusu Namanga.
Mtaa wa Makangira Msasani.Eneo ninalozungumzia ni squatters pale nyuma ya maduka ya Namanga.
Kuna mtu anataka kuniuzia nyumba hapo naogopa nisije nikanunua Leo kesho serikali inakuja kuwahamosha watu.
Wakazi wa hapa wote wana leseni za makazi lakini nimejaribu kupeleleza sijapata mtu akanieleza future plan ya eneo hilo ni nini. Ila Jirani na huyo mtu anayeta kuniuzia kuna mtu anajenga ghorofa ila nilivyojaribu kuchunguza nimeona hajaweka kibali cha ujenzi nikajua nikahisi ni mambo Yale Yale ya squatters.
Naomba Kama kuna mtu anajua detail kuhusu eneo hili anijuze nisije nikaingia mkenge!
 
Mimi nina frame ya biashara eneo hilo, hilo eneo lote mpaka kule CCBRT ni Bonde mkondo wa maji. ni makazi ya watu kwa miaka mingi sana tu kama ilivyo tandale au maandazi road. Mwenye nyumba wangu yupo hapo since 70s. ila ki ukweli sishauri mtu kununua eneo hapo labda kama una mtu wa uhakika kule Ardhi anaeweza kukupa master plan ya Jiji ukajionea plan ya hapo ni nini.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
kama una hela ya kununua pale haikosi una hela ya kutosha kununua any other good and reliable place
 
  • Thanks
Reactions: LAT
kama una hela ya kununua pale haikosi una hela ya kutosha kununua any other good and reliable place

Asante Kwa kuendelea kunipa update.
Hela ninayotaka kutumia ni ya mkopo kutoka bank nitatumia mshahara wangu Kama dhamana ie shirika langu Lina mkataba na bank kukopesha wafanyakazi wake hadi miaka mitano.
Hela ya kukopa Ndio sababu najaribu kuwa makini sana!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mimi nina frame ya biashara eneo hilo, hilo eneo lote mpaka kule CCBRT ni Bonde mkondo wa maji. ni makazi ya watu kwa miaka mingi sana tu kama ilivyo tandale au maandazi road. Mwenye nyumba wangu yupo hapo since 70s. ila ki ukweli sishauri mtu kununua eneo hapo labda kama una mtu wa uhakika kule Ardhi anaeweza kukupa master plan ya Jiji ukajionea plan ya hapo ni nini.

kama una hela ya kununua pale haikosi una hela ya kutosha kununua any other good and reliable place

this is a set of very valuable advice from Jf member

Endeleaa ... God bless you
 
nadhani hii ni biashara unataka kufanya so kwa faida ya biashara yako ni vyema utafute uhakika katika mamlaka husika naomba usiende municipal nenda wizarani kabisa utapata details zote.
 
Mimi nina frame ya biashara eneo hilo, hilo eneo lote mpaka kule CCBRT ni Bonde mkondo wa maji. ni makazi ya watu kwa miaka mingi sana tu kama ilivyo tandale au maandazi road. Mwenye nyumba wangu yupo hapo since 70s. ila ki ukweli sishauri mtu kununua eneo hapo labda kama una mtu wa uhakika kule Ardhi anaeweza kukupa master plan ya Jiji ukajionea plan ya hapo ni nini.

Asante Kwa advice.
Yaani panatamanisha sana ni karibu na mjini ila naogopa nisije kujikuta napangiwa Kiwanja mabwepande!!!
 
Unless IF You're Not Serious Investor otherwise ningekushauri kwenda Ardhi kuliko kutaka advice hapa JF.
 
Unless IF You're Not Serious Investor otherwise ningekushauri kwenda Ardhi kuliko kutaka advice hapa JF.

Nilienda serikali ya mtaa wa Makangira.
Mwenyekiti na katibu wake hakuna anayejua current future plan ya pale.
Wanadai kulikuwa na Plan za UN habitat na world bank kuboresha makazi kupitia MKURABITA lakini hawajui issue hiyo ipo aunomeshakufa!
Of course Ardhi makao makuu nitaenda!!
 
Pale ni Oysterbay Makangara, acha kupaweka Msasani. Hiyo Namanga ilikuwa inaitwa "Oysterbay Shopping Centre" mpaka juzijuzi hapa.

Kama una wasi chagua kwingine. Ya nini kununua kitu cha muda mrefu kama nyumba kwa wasiwasi?
 
Back
Top Bottom