Posted Saturday, May 5 2012 at 16:33
Do you sometimes feel, dear reader, that you are in the middle of a hostage situation in which you and your fellow captives know that...
Wana JF,
Baada ya kimbunga cha Bungeni hivi majuzi cha kutokuwa na imani na PM na kupelekea Rais kulifuma Baraza lake la Mawaziri naona kumetulia na tunangojea output ya hawa wateule wapya na wa...
Source mwananchi
NI BAADA YA MAJADILIANO YA SERIKALI NA TUCTA
Waandishi Wetu
KUNA taarifa kwamba Serikali imekubali kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa kati ya asilimia 20 na 33.3...
Ngorongoro:Wandugu kiujumla nimeweza kufika maeneo yote ndani ya wilaya hii. Ina dvs tatu (Loliondo, Sale&Ngorongoro). Pia ina maliasili nyingi ambazo wananchi wajanufaika nazo. Ktk tarafa 2...
Hii thread ni msisitizo wa mwanablog mmoja KENGEMMAJI aliyechangia kwamba Mzee wetu JK anafanya vizuri kutokuchukua hatua za haraka pindi member wa timu yake wanapofanya madudu pia eti ni msikivu...
Wana jamvi! Msaada tutani.
Hv kitendo cha kupiga kura ya kumchagua rais je nikumpa ajira asimamie chombo chetu kinachoitwa serikali au ni kumpa ruksa ya yeye kuwa mtawala wetu?? Its serious...
Umefika wakati tuweke utaratibu kudhibiti safari za viongozi na hapa hasa raisi.Leo kaenda Ethiopia na majuzi alikuwa Brazil na Malawi.Safari hizi zinagharimu fedha nyingi za walipa kodi wa nchii...
Matokeo ya kura yalionyesha dhahiri kuwa CDM ingepata wabunge 120. Na ikazuka hofu ya ghafla ikulu kuwa itakuwaje kuhusu matokeo ya rais? CDM ikiwa haina cha kushikiria wala uthibitisho kwani...
This is due the fact that groups prevailing into his party each one scrambling for presidency if it happens the top job falls in the hands of his enemies and not allies for sure retaliation will...
Umechangia mabadiriko katika nchi yetu, Bila wewe Watanzania bara mpaka leo hii tungeendelea kuonyesha Passport ili kuingia Zanzibar. :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
MKUU WA MKOA WA RUKWA AZINDUA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA MJINI SUMBAWANGA LICHA YA MVUA KUBWA KUNYESHA JANA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (katikati) akifagia kwenye moja ya...
Yule rpc aliyesababisha matatizo makubwa huko arsha kwa ajili ya kujikomba hatimaye amehamishiwa kwenye kitengo kipya makao makuu ya polisi dsm. Nafasi yake imechukuliwa na rpc liberatus...
Wakuu wa wilaya wapya kutangazwa leo
Wednesday, 09 May 2012 13:59
Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza orodha mpya ya wakuu wa wilaya wakati wowote kuanzia sasa. by mwanachi
Jeshi la polisi jana lilianza rasmi kuwasaka viongozi na wale wote wanaojihusisha na vikundi vya kihuni ambavyo vimekuwa ni kero kubwa sana kwa wakaz wa musoma. Vikundi hivi vimekuwa vikijihusisha...
Wana JF.
Ni wazi kwamba uozo uliopo kwenye mfumo wetu mzima ni mbovu, alichofanya rais si jambo geni kusukwa upya baraza la mawaziri ni kuongeza ulaji na ufisadi unakithiri, ndivyo itakavyokuwa...
Nia ya wabunge kupiga kura ya kutokuwa na Imani na waziri mkuu bado ina mashiko na ni muhimu ikachukuliwa kwa umuhimu wake katika kikao kijacho cha bunge
Nasema hivyo na nina imani kuwa, kuvunjwa...
Nimekuwa nikisikiliza mambo mengi yahusuyo madai ya Wazanzibari kudai nchi yao. Wakitaka muungano ujadiliwe na ikiwezekana zaidi uvunjike. Mimi nawashauri jambo moja la ziada, daini pia ushiriki...
AITISHA GHAFLA VIKAO VYA CC NA NEC DODOMA
na Danson Kaijage, Dodoma
​
BAADA ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza lake la Mawaziri, Rais Jakaya Kikwete sasa anatarajia kuifumua...
Ninahasira na ukweli kwamba TZ kama jojo, unatafuna kisha unatema ama kwa kuisha utamu au kufanya kitu kingine muhimu; Zamani rais hafanyi kosa la kunyamazia vitu vya ovyo; leo rais analalamikiwa...
Pamoja na mapungufu na kasoro nyingi kwenye katiba ya sasa,lakini lazima tutambue kuwa kwenye masuala ya ufisadi na uhujumu uchumi katiba inafaa sana kwani imetoa madaraka makubwa kwa mkuu wa...