Nchi kama JOJO tutafika? acha tuone maajabu ya dagaa kumeza sangara

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Ninahasira na ukweli kwamba TZ kama jojo, unatafuna kisha unatema ama kwa kuisha utamu au kufanya kitu kingine muhimu; Zamani rais hafanyi kosa la kunyamazia vitu vya ovyo; leo rais analalamikiwa baraza kubwa wala hajali, rais anaambiwa kunafadi wala hajali, rais anasema anawajua wauza unga wala hawataji kwa majina, watu tunalalamika elimu imekuwa biashara wala haongei, kodi kubwa mishahara midogo na mfumko wa bei yeye anapiga stori za ottu (utoh) tunataka majibu inakuwaje? rais bla bla tu, safari za nje haina tija kiwango hizo wala yeye anakwea pipa tu;

Kama kishapu wamekamatwa vile wilayani, EPA, Fisadi wakubwa wako wapi, Mikataba mibaya ya madini inakuwaje? suala la huduma ya umeme nayo na Richmond? hawa mbona hawakamatwi?

Watanzania tunataka tuishe utamu kama nchi watuteme tukisubiri kufa au tuamke tuinusuru nchi? Kama mtu mdogo kama nasari atamega nchi acha dagaa ameze sangara tuone hayo maajabu.

Nawasilisha
 
Shekhe Yahaya alitutabiriaga eti tutapata raisi mwanamke:sleepy:
 
Dah Jamii Forum bwana kuna vituko yaani ni zaidi ya hata ya kusoma magazeti na kuangalia NEWS. Well done guys.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom