Tuna wajibu wa kumkomboa kila MTZ, Kamanda Lema tia mguu hapa.

Nairobifly

Member
May 3, 2012
75
26
Ngorongoro:Wandugu kiujumla nimeweza kufika maeneo yote ndani ya wilaya hii. Ina dvs tatu (Loliondo, Sale&Ngorongoro). Pia ina maliasili nyingi ambazo wananchi wajanufaika nazo. Ktk tarafa 2 Sale&Loliondo hakika watu wamefunguka na magamba hawana chao hapa. Tarafa ya Ngorongoro kiukweli watu bado wamefungwa na magamba I mean wao ni ccm pure isipokuwa kata ya Endulen ambapo mbuge wa Karatu alifika na kuisambaratisha ngome ya ccm hv karibuni. Mwananchi 1 alinipa taarifa kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na serikali ya ccm kupitia uongozi wa shirika hilo ikiwemo serikali kukataza kilimo cha kujikimu na ikumbukwe kuwa eneo hilo ni ardhi mseto. Ccm imeotesha mizizi yake hapo baada ya rais kumteua gamba papa Msekwa kuwa m/kiti wa bodi wa mamlaka hiyo-NCAA. Wananchi wanalia kwa kutokuwa na mwakilishi ktk bodi hiyo baada ya mbuge wa wilaya hiyo kuondolewa ktk bodi hiyo na ni pale walipotofautiana na aliyekuwa waziri wa maliasili Mwangunga kuhusu mgogoro wa Loliondo wa wananchi kuchomewa maboma. Kamanda Lema kama upo humu naomba ufike hapo wananchi hawa wakombolewe. "ukombozi umewadia"
 
Nashangaa kama hao wa lolindo na sale bado wamelala wakati ndio wanaoshuhudia madege ya mizigo ya uarabuni yakiondoka na wanyama hai
Enyi wagalatia, ninani aliyewaloga?
 
Back
Top Bottom