Jeshi la polisi laanza operation dhidi ya vikundi vya kihuni Musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la polisi laanza operation dhidi ya vikundi vya kihuni Musoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MZAWATA, May 9, 2012.

 1. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jeshi la polisi jana lilianza rasmi kuwasaka viongozi na wale wote wanaojihusisha na vikundi vya kihuni ambavyo vimekuwa ni kero kubwa sana kwa wakaz wa musoma. Vikundi hivi vimekuwa vikijihusisha na mambo ya uhalifu kama vile wiz wa unyang'anyi,kukata watu mapanga na hata kuua wakaz wa musoma. Wahusika weng ni wanafunzi wa sekondari mbalimbali za musoma. Kuna makundi kama MBIO ZA VIJIT,MDOMO WA FURU,WEST LAWAMA n.k. hongera sana jesh la polis. Tunaomba muwakamate wahusika na kuwafungulia mashtaka. Nawasilisha!
   
 2. mashini

  mashini Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuuuuuuuuuuuuu,,,,, hii siyo sehemu yake na ndo maana hamna yeyote aliye changia.... huu ni uwanja wa siasa mzee.......
   
Loading...