Nia ya kupiga kura ya Kutokuwa na imani kwa waziri mkuu bado ina mshiko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nia ya kupiga kura ya Kutokuwa na imani kwa waziri mkuu bado ina mshiko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tongi, May 9, 2012.

 1. t

  tongi JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nia ya wabunge kupiga kura ya kutokuwa na Imani na waziri mkuu bado ina mashiko na ni muhimu ikachukuliwa kwa umuhimu wake katika kikao kijacho cha bunge

  Nasema hivyo na nina imani kuwa, kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na mheshimiwa JK haina maana ya kurejesha imani kwa waziri mkuu, bali kuthibitisha kuwa wale walioleta hoja ya kutokuwa na imani kwake walikuwa sahihi kwani alitakiwa kuwa amemshauri raisi siku nyingi kuchukua hatua hiyo, na kama rais asingekubaliana nae basi yeye angejiondoa kwenye serikali kwa heshima

  Zoezi la kupiga kura lilikwama bungeni kutokana na kutotiomiza matakwa ya muda, hivyo basi, zoezi hilo halina budi kuanza mapema pale bunge lijalo litakapoanza, Pinda bado ni yule yule na hawezi kubadilika kwa vile kumeingia baraza jipya la mawaziri

  Nawasilisha
   
Loading...