Madhara ya JK kuchelewa kuchukua hatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya JK kuchelewa kuchukua hatua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebaeban, May 9, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Hii thread ni msisitizo wa mwanablog mmoja KENGEMMAJI aliyechangia kwamba Mzee wetu JK anafanya vizuri kutokuchukua hatua za haraka pindi member wa timu yake wanapofanya madudu pia eti ni msikivu hana papala anatafakali n.k. pale kwenye thread ya MWIGAMBA inayosema Hongera mungu kutuletea rais KIKWETE.

  We Kengemmaji, Ukitaka kujua madhara ya kuchelewa kuchukua hatua rejea yaliyomkuta Rais Milton Obote mtawala wa Uganda awamu ya kwanza, alichelewa kumchukulia hatua Idd Amin halafu alimfanya nini. nanukuu simu aliyompigia David Oyite Ojok akiwa singapore Obote: Have you already arrested General, OJOK: No, but preparation are under hand to arrest him today before down, Obote:Oooh, make it now otherwise you will find it too late: mwisho wa kunikuu. Yes it was too late because the coup to oust Obote`s government had begun half unhour ago at Malile marchanised alignment.
  Habu wana jamvini mwelewesheni vizuri zaidi kengemmaji madhara yanayojili hapa inchini kwa Mzee wetu JK kuchelewa kuchukua hatua pindi wasaidizi wake wanapofanya madudu nafikiri hili NAPE anamajibu mazuri zaidi.
   
Loading...