Hoja iliyomuweka Kikwete Madarakani: Every Tanzanian Needs Healthy Political Parties | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja iliyomuweka Kikwete Madarakani: Every Tanzanian Needs Healthy Political Parties

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, May 9, 2012.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280


  Matokeo ya kura yalionyesha dhahiri kuwa CDM ingepata wabunge 120. Na ikazuka hofu ya ghafla ikulu kuwa itakuwaje kuhusu matokeo ya rais? CDM ikiwa haina cha kushikiria wala uthibitisho kwani asilimia 9 ya vituo vyote vya kupiga kura hakukuwa na wakala wa CDM


  Saa sita na dakika kumi siku tatu kabla ya matokeo taarifa rasmi ambayo haikuwa na kupingwa ilionyesha kuwa Slaa ameshinda. Na taarifa zingine za ndani kutoka source zingine nje ya election team zilionyesha Kikwete kashindwa

  Kama kawaida kitu ambacho wengi hawakijui, ili Fulani awe rais lazima jeshi, kura na usalama wa taifa vikubaliane!! Bosi mkuu wa moja ya vyombo hivi alikataa kukubali upinzani kushika nchi!

  What happened!

  1. Kikwete alikubali kuwa acha upinzani ushike nchi na hayuko tayari kuona damu ikimwagika!

  2. Mkutano mkali kwenye moja ya vyombo vya ulinzi, huku kimoja kikisema washike wapinzani, kingine kikasema haiwezekani…chombo kimoja kikadai zitolewe sababu ya msingi ama sivyo kutasababisha tatizo.Sababu ya msingi na ambayo iliwamaliza wote ilitolewa na mtu ambaye aliitoa ‘kwangu’ kuwaIli tujenge Tanzania kama nchi, basi lazima vyama vya upinzani vyote ( minimum viwili) viwe na nguvu ambayo inafanana, ilihofiwa kuwa endapo CCM itaondoka madarakani basi kitakufa tu! Halafu baada ya siku si nyingi CDM nayo itageuka kuwa CCM nyingine.

  Uzuri ni kuwa vyombo vya usalama vyote vilikiri kuwa ccm imepoteza ule utamu wake!! Hoja hii si ya kwanza..wakati Kenya Odinga akiwa na ajenda ya siri ya kidini, usalama wa taifa ukalazimisha Kibaki awe rais, ili kulinda u-kenya. Same cases can be said in zimbabwe etc
  Kikwete akaelezwa umuhimu wa kuibadili CCM na kuwa izaliwe upya…a.k.a rebirth au kujivua gamba

  Je hoja hii ambayo iliungwa mkono kwa nguvu zote na kuifanya ccm iendelee madarakani ina mashiko kiasi gani??

  jadili
   
 2. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,545
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  CCM kufa ni jambo lililo wazi kabisa .......infact tayari imeanza kufa......ccm itakufa kama ilivyokufa KANU....kilicho kigumu kwa viongozi wa ccm ni kukubali ukweli huu mchungu kwamba chama chao kinakufa.....wanachofanya sasa sana sana ni kuangalia ni namna gani wanaweza kupunguza kasi ya kufa kwa ccm......huku wakiombea mabaya yatokee kwa vyama vya upinzani kama chadema ili watu wapoteze imani nao......Ukweli wa kufa kwa ccm uko pale pale na hii ni trend inayojitokeza si tu TZ bali dunia nzima.......i mean....matatizo ya dunia hii leo yanawafanya watu wafikiri maradufu vyanzo vya matatizo yao......ikiwemo kuangalia mifumo ya kisiasa ya nchi husika......Tumeyaona haya kwenye arab springs.......tumeyaona senegal......zambia......na hata kwenye nchi zilizoendelea e.g europe... tunaona marais (incumbents)waking'olewa madarakani kwa kura....refer....italy....france..etc etc.....Watu wa leo TZ ni tofauti na 10 years ago.....watu wanapigika huku wakiona viongozi wao wanaishi kama miungu....this is unacceptable.....

  My take:
  Kilichofanyika 2010...kama kweli CDM walishinda ni jambo la kusikitisha sana......nashangaa sioni wala kusikia CDM na viongozo wao wakijadili ni nini kilifanyika mpaka hawakushinda 2010....hata kama waliporwa ushindi..je ilikuwaje wakaporwa????.....inakuwaje kwenye vituo vya CDM..(hiyo asilimia 9%)wasiwepo mawakala wao?????....Na mbona CDM walikubali kirahisi kuachia ushindi????....kwani hawakujifunza kenya??...kwamba haki hupiganiwa??...may be TZ ya leo ingekuwa tofauti kama CDM wangesimama kidete kudai haki yao ya ushindi??....na kama CDM walikubali yaliyotokea..je ni kitu gani kitawafanya wasiyakubali tena pale ambapo ccm watacheza tena rafu 2015????..maana nina hakika kama CDM walishinda 2010....then 2015 lazima washinde....kwa vyovyote vile lazima kura za CDM zitakuwa nyingi 2015.......swali ni je CDM watafanyeje kama yatatokea kama yaliyotokea 2010?????
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  This is a news to me! Lakini hakuna namna sikio la kufa likasikia dawa.
   
Loading...