Injinia Stella Manyanya alifunda jiji la Dar kiaina! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Injinia Stella Manyanya alifunda jiji la Dar kiaina!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIM KARDASH, Jan 13, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [h=3]MKUU WA MKOA WA RUKWA AZINDUA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA MJINI SUMBAWANGA LICHA YA MVUA KUBWA KUNYESHA JANA[/h]

  [​IMG]
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (katikati) akifagia kwenye moja ya barabara za Mji wa Sumbawanga Mkoani humo jana katika uzinduzi wa kampeni ya kusafisha Mji huo ijulikanayo kama "SUMBAWANGA NG'ARA 2012". Wanaojumuika naye kwenye usafi huo ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Kanali John Antonyo Mzurikwao na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Samwel Simwela. Mkuu huyo wa Mkoa ameanzisha Kampeni hiyo ambayo itakuwa ni ya kudumu baada ya kuona Manispaa hiyo imezorota katika usafi wa mazingira.


  [​IMG]
  Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Alhaj Salum Mohammed Chima akijumuika na Mkuu wa Mkoa huo katika uzinduzi wa Kampeni hiyo.


  [​IMG]
  Huku Mkuu wa Mkoa huo akiendelea na ufagiaji wa barabara za Mji huo wa Sumbawanga Daladala nazo zilikuwa zikiendelea na shughuli zake za kusafirisha abiria kupitia barabara hizo. Nyuma yake ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Kanali John Antonyo Mzurikwao.

  [​IMG]
  Mbunge wa jimbo la Sumbawanga Mjini Mhe. Aeshi Hillal akitoa uchafu kwenye mtaro katika moja ya barabara zilizopo katikati ya Mji wa Sumbawanga wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo jana. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Salum Mohammed Chima na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Sabas Katepa.


  [​IMG]
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Injinia Stella Manyanya akijumuika na wa wananchi pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali katika ufagiaji wa barabara za Manispaa ya Sumbawanga.


  [​IMG]
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akifanya uhamasishaji wa usafi wa mazingira katika Mji wa Sumbawanga kwa abiria wa daladala jana kwenye uzinduzi wa kampeni ya "SUMBAWANGA NG'ARA 2012". Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Kanali John Antonyo Mzurikwao na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Sumbawanga Sabas Katepa.  [​IMG]
  [​IMG]

  Uhamasishaji huo ulifanyika kwa wananchi wote wakiwemo wapita njia.  [​IMG]
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akitoa mchanga kwenye mtaro katika moja ya barabara zilizopo katikati ya Manispaa hiyo ya Sumbawanga huku Mvua ikiendelea kunyesha.


  [​IMG]
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (kulia) akifagia kwenye moja ya barabara za Mji wa Sumbawanga Mkoani humo jana katika uzinduzi wa kampeni ya kusafisha Mji huo ijulikanayo kama "SUMBAWANGA NG'ARA 2012". Kushoto ni Naibu Meya Manispaa ya Sumbawanga, Aurelia Kanyengele.


  [​IMG]
  Waandishi wa habari nao walikuwepo kutaka kujua kilichomsukuma Mkuu wa Mkoa huo kuamua kuingia barabarani na kuanza kufagia, ambapo alisema Kiongozi bora ni lazma afanye kazi kwa vitendo na kuwa mfano bora kwa wale anaowaongoza.

  [​IMG]
  Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Frank Maten akijumuika kwenye kampeni hiyo.

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hakuna kitu hapo! Usanii tu mbele ya waandishi wa habari, na makamera-man kibao! Hiyo barabara wanayosafisha haina uchafu wowote,sanasana wanaharibu kwa kuondoa layer' ya sub-base na kusababisha mashimo zaidi! Hizi ni politiki, angekuwa makini aende kwenye madampo na mitaani akasafishe.
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Engeneer wa nini huyo! Kuchuma Manyanya!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,369
  Likes Received: 19,588
  Trophy Points: 280
  sio kupinga kila kitu jamani penye credits msibane
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,369
  Likes Received: 19,588
  Trophy Points: 280
  ndio...
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh sijui nisemaje mana wakijitoa tutasema ooh cheap popularity,wasipojitoa hawataki kushirikiana na wananchi,mama endelea tu
   
 7. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anapaswa kuigwa katika juhudi zake na si mbwembwe za kuonesha ufundi wa kukosoa kalalama na kuishia kua wachafu
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lakini anaonyesha njia hata kagame alianza hivihivi kigali leo nchi nzima ni safi na kuna siku maalum jmosi nadhani ya usafi kwa nchi nzima...
   
 9. Josephine

  Josephine Verified User

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wengine tutatoa credit si kwa manyanya.mnafiki tu na anajipendekeza kwa pinda aliyempigia debe.
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  huyu akiongea bungeni ni upupu tu.Hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Watz huu upinzani wetu wa kisiasa sasa unatupeleka kubaya,yani huyu mama kweli anastahili kejeli kwa hili?sidhani.Mama amefanya jambo zuri,hivi hawa viongozi wetu walio wengi mnawajua mnawasikia,nani anaweza ku taka trouble ya kuingia kwenye mitaro ya maji huku mvua ikinyesha hata kama ni mbele ya camera,hiyo yao maarufu ya kupanda ka mti kamoja lazima watandikiwe mkeka wa kupigia magoti...viongozi wa jiji chafu la dar waichukue hii kama challenge..
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  injia manyanya amethubutu bwana nyie mfumo dume unawasumbua angefanya mnyika,magufuli au maalim seif kusingekua na tabu,mi naona tatizo hapa ni huu uanamke wake!kwani mnavyosikia kwa kaka zenu kwamba sokoine alikua mchapa kazi mnadahni alilima mashamba yote yeye mwenyewe kwa mkono wake tanzania nzima?alikua anaonyesha njia na mfano kama hivi then hii inasambaa mpaka vijijini!
   
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Yaelekea ni mtu wa vitendo zaidi kuliko kuongea kama walivyo wanasiasa wengi
   
 14. P

  Ptz JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Huyo mama hana jipya ni upupu tu!
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,369
  Likes Received: 19,588
  Trophy Points: 280
  Mama ukiongea mimi nakuelewa sana kwa sababu lazima utakuwa unamjua kwa undani tu na kuwa kafikaje fikaje hapo alipo ..
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kwanini?mbona hamuongelei hilo tukio zima mnaenda personal kwa mama?
   
 17. J

  J_Calm Senior Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bure tu!
   
 18. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Huyu mama amesaidia vipi katika profession yake kwani huyu mama alikuwa kwenye shilika la Megawatt kabla hajaikimbia profession yake, ningempa credit kama angeenda kusaidia mafundi umeme kufanya connection kwenye nyumba zao, kufagia kila mtu anaweza kufanya hivyo na angeweza hata kuajili watu wangefanya kazi hiyo, sasa fuatilia ni kiasi gani cha fedha kimetumika kwenye tukio la huyo Engineer kufagia.
   
 19. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndiyo itasadia nini!
   
 20. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Manyanya alijafanya mpambanaji wa ufisadi, na hali na yeye fisadi vilevile!
   
Loading...