Msaada tutani!

Jozdon

Member
Dec 17, 2008
55
9
Wana jamvi! Msaada tutani.
Hv kitendo cha kupiga kura ya kumchagua rais je nikumpa ajira asimamie chombo chetu kinachoitwa serikali au ni kumpa ruksa ya yeye kuwa mtawala wetu?? Its serious naitaji msaada. Inanichanganya kidogo.

Pili: mbunge ni kiongozi au ni muwakilishi wa wananchi tu (representative). Kama si kiongozi, hizi nguvu za kutoa ahadi ya kujenga na mengineyo yanatoka wapi? Nilitegemea zaidi watoe hoja za kutuwakilisha na kutetea vizuri badala ya kuahidi kujenga na mengineyo.toeni ufafanuzi mliobobea kwenye issue zinazohusu govt structure.nawakilisha
 
yawezekana wewe ni Mkristo aui siyo lakini ukitaka kujua hebu Chukua Biblia Soma SAMWELI WA KWANZA SURA YA 8 MSTARI WA KWANZA HADI WA ISHIRINI UTAPATA MAJIBU YOTE
 
Raisi si mtawala yeye ni kiongozi tu, sema viongozi wengi wa tanzania hawajui kwanini wanaongoza ndio maana kila leo ni ufisadi tu!!!!!
 
Back
Top Bottom