Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe kasema Tanzania haina tatizo na Jamhuri ya watu wa Sahara na inawaunga mkono. Nataka kujua kufahamu kauli hii ina afikiana na...
Ni ukweli unaojulikana napa Mwanga mbunge wa sass prof. Jumanne Maghembe hapendwi napa wilayani Kwa sababu ya maneno yake ya dharau na kejeli Kwa wapiga kura wake.
Kwenye kura za mchujo ccm mwaka...
TENANTS of premises owned by a Dar es Salaam transport company (UDA) have appealed to the High Court, Land Division against a ruling issued by Temeke District Housing Tribunal, which limits the...
Ndugu wana jamvi leo nakuja na mada hii ili nipate kuthibitishiwa. Mada ni kwamba, CCM wana uhakika wa kupoteza utawala wa nchi ifikapo 2015. Sasa ili kuhakikisha kwamba hilo halitokei(kupoteza...
Kwa walio wengi vuguvugu la mageuzi ya mfumo na siasa Tanzania unaonekana kuanzishwa na wanasiasa. Ukweli ni kwamba, walimu wa vyuo vikuu na vile vya elimu ndio haswa wajenzi wa fikra mpya za...
MSIMAMO WA CCM KUHUSU TUHUMA ZA KUHUSIKA NA MAUAJI YA WANACHADEMA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Hivi karibuni chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kilielezea kile ilichoeleza...
Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika...
Jamani hiii serkali imefikia hatua inakera mpaka unakosa tusi... Yaani hamna siku inaweza kuwa proactive na kuanzisha mambo/actions za kutatua challenges hizi nyingi?, badala yake inaishia kuwa...
kweli hali mbaya ccm wanaandamana hapa dodoma wapo kame 50,wanatembea kama watu waliyokata tamaa kabisa,wengine wanaficha sura kama vile wamelazimisha.masikini CCM!
Ndugu wana JF hivi kuna yeyote anayeweza kunielezea kama kuna mioango madhubuti ya kimkakati yatakayowezesha sensa ya mwaka huu kuwa makini itakayotoa taswira ya takwimu za watu nchini...
Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-
- I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba...
Wanabodi habari za siku nyingi?
Zililetwa 'nyaraka' humu kuhusu sakata la ujenzi wa gati ya 13 na 14 bandarini,lakini ukweli ni kuwa waliozileta wamekuwa 'selective', kwa kuchagua zile tu...
Wana JF;
Jana tarehe 8/05/12 majira ya saa sita mchana nilikuwa pale chini kwenye jengo la Wizara ya Uchukuzi ilikuwa ni siku ambayo Viongozi waliokuwepo wakiongoza Wizara hizo walikuja...
Nazisoma hizi nyaraka za tuhuma za THA kutaka kunuwapa tenda ya dola milioni 600 kampuni ya kichina ifanye kazi ya dola milioni 300
sasa cha kujiuliza hivi hizo dola milioni 300 zilikuwa apewe...
Wana JF
Hebu tujiulize,wakati unavyokwenda kupiga kura ni vitu gani unavizingatia ili uweze kumchagua raisi ama mbunge wako?
1.je unazingatia vyama vilivyoshiriki ktk uchaguzi husika?
2.je...
kuhusu madai ya malipo ya pili ya korosho, CUF ikiongozwa na Julius Mtatiro na M/kiti wa CUF Wilaya (katani katani) wataongoza maandamano hadi kwa mkuu wa Wilaya asubuhi hii. Mungu awatangulie...
Dr. Shein ametangaza huduma zote za uzazi iwe kwa njia ya kawaida au upasuaji ni bure. Dah!Kumbe inawezekana! Bravo Shein, i wish nihamie Serikali ya umoja wa kitaifa.
Wanabodi nawasalimu.Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari msemo unaopendwa kurudiwarudiwa na baadhi ya viongozi wa nchi hii wale wanaotokana na chama tawala ambao ni huu "CCM INA WENYEWE, NA...