Maandamano Makubwa Tandahimba

MMAHE

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
816
417
kuhusu madai ya malipo ya pili ya korosho, CUF ikiongozwa na Julius Mtatiro na M/kiti wa CUF Wilaya (katani katani) wataongoza maandamano hadi kwa mkuu wa Wilaya asubuhi hii. Mungu awatangulie wana Tandahimba wenzangu, pamoja sana, nothing impossible!









source Pride FM Mtwara
 
sii majuzi walifunga barabara ya newala mtwara kwa madai hayo hayo!serikali ilitoa ahadi ya uongo
 
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
kumbe hujapona bado! nilete habari zip za Chadema? Chadema ndo wanaandamana leo? acha ushabiki wa kijinga! hatuwaoni chadema huku, hawajui kama wakulima wa korosho wanadhulumiwa? mbona hawatetei? ziko wapi harakati zao kutetea wakulima hawa, mbona wapo kimya tu. binafsi sishabikii chama naangalia nani anafanya nini na kwa maslahi ya nani! hata wangeandamana TLP ningeleta tu hiz habari coz wanadai maslahi ya umma upo?
 
kumbe hujapona bado! Nilete habari zip za chadema? Chadema ndo wanaandamana leo? Acha ushabiki wa kijinga! Hatuwaoni chadema huku, hawajui kama wakulima wa korosho wanadhulumiwa? Mbona hawatetei? Ziko wapi harakati zao kutetea wakulima hawa, mbona wapo kimya tu. Binafsi sishabikii chama naangalia nani anafanya nini na kwa maslahi ya nani! Hata wangeandamana tlp ningeleta tu hiz habari coz wanadai maslahi ya umma upo?
mkuu achana na huyo we tupe habari za huko bwana tunawatakia mafanikio mema!
 
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Mmmh hivi wewe ni Shossi, "Shosti" au "Sholi" maana naona umekurupuka kindama zaidi hebu wacha kufanya CDM kuwa Wabinafsi kama wewe, hii ni kwa ajili ya maslahi ya walala hoi wenzetu bana; we wa wapi wewe!!
 
Back
Top Bottom