Kamati za bunge au kamati za kifisadi?

May 9, 2012
59
15
Nazisoma hizi nyaraka za tuhuma za THA kutaka kunuwapa tenda ya dola milioni 600 kampuni ya kichina ifanye kazi ya dola milioni 300

sasa cha kujiuliza hivi hizo dola milioni 300 zilikuwa apewe nani? na je kama hatuwezi kuwa na imani na kamati za bunge tuwe na imani nani?
 
Tanzania kila apataye nafasi lazima aitumie kufisidi umma ndiyo maana hatupambani na ufisadi kwa namna inavyopaswa. Hata wananchi wa kawaida wanatamani wapate fursa waibe kwa vile hakuna mfumo unaozuia utajiri wa haraka na haramu. Mkubwa anaiba kikubwa na kidogo na mdogo anaiba kidogo akitamani apate nafasi ya kuiba kikubwa. Wakati Kenya ni nchi ya kitu kidogo, Tanzania ni ya vyote yaani kikubwa na kidogo.
 
Ndugu mungu keshakupa akil ya kujua jema na baya,furahia jema kemea baya.Hacha kukata tamaa,kemea mafsad mpaka kieleweke
 
Nazisoma hizi nyaraka za tuhuma za THA kutaka kunuwapa tenda ya dola milioni 600 kampuni ya kichina ifanye kazi ya dola milioni 300

sasa cha kujiuliza hivi hizo dola milioni 300 zilikuwa apewe nani? na je kama hatuwezi kuwa na imani na kamati za bunge tuwe na imani nani?

Mkuu ilete vizuri basi. Ina maana kuna ufisadi wa dola millioni 300?
 
sasa hatma ya dola mia 300 hazijulikani

Mkuu hili sakata ndilo lilomtoa kafara Mh.Nundu baada ya kuonekana kukataa katakata dili hilo alizungukwa kila eneo na wenye dili mpaka ikaonekana Mh.Nundu ndo fisadi na akaanza kusakamwa alimanusura washinde. Moshi mweupe ukaonekana kwa mbali pale kijana machachali Mh.Mnyika aliposhtukia dili hilo. Mpaka leo hatujawaona waliokua wakitaka kutuingiza mjini wakiongea tena.
 
Back
Top Bottom